Lissu na Zitto kuipaka matope na kuisaliti Nchi yake hakujafanywa na mpinzani yeyote Duniani

Wewe naye mshamba wa kisukuma. ANC walikimbilia Tanzania tukawahifadhi pale Mogogoro hapa juzi leo hata hujui hayo! Hii vita yetu ni ya makaburu meusi, yalivuka mpaka wa magharibi. Haya ya yana roho za nchi za jirani mpaka wa magharibi; kuua wao si shida.

Hii si Tanzania yetu ya kawaida, ni Burundi na Rwanda type. Kuua si shida kabisa!
Acha vijana wa watu wakimbize roho zao, wapambane wakiwa nje.
 
Hapo kwa Raila umechemsha.juhudi zote za kuwapeleka Ruto na Uhuru ICC zilifanywa na Raila.
 
Usiwe mjinga wa kutupwa, Magufuli ndiye aliye na anayeichafua Tanzania
Kwa matendo yake ya hovyo kuwahi kutokea.
Wewe ni kilaza na ukoo wako .kawambie nina zito na lisu wanachofanya kitawatokea puani
 
So huyu Lissu ametorokea kwa maadui zetu walioiba mali za waafika kwa miaka mingi
 
Ndio maana laana zimewaandama, huyu ajali kila siku yule kawa mlemavu wa maisha, na bado, BTW sijui kuhusu tundu lkn najua Zito alilelewa bila ya Baba, hivyo kuna kitu hana au alikosa, ...
Zito ni mtoto wa single mother so acha iwe vile
 
Ukiulizwa wameisaliti kivipi uaanza kjamba jamba tu hapa
 
Ndio maana laana zimewaandama, huyu ajali kila siku yule kawa mlemavu wa maisha, na bado, BTW sijui kuhusu tundu lkn najua Zito alilelewa bila ya Baba, hivyo kuna kitu hana au alikosa, ...
Akili mbaya hizi..Lissu alizaliwa mlemavu???au nyie mmempa ulemavu...ila siku inakuja dharau zenu zitafika mwisho...
 
Hawasikilizwi,wanafanywa adui unasemaje hapo? Ungekuwa wewe ungefanyaje?
Huyo malema anaheshimika na nchi yake inaheshimu upinzani aende nje kufanya nini wakati anasikilizwa ndani ya nchi yake?. Umewahi hata kusikia malema anakesi mahakama za SA na anaongea kwa uhuru bila kuogopa, fuatilia hotuba zake. Na hao wengine vilevile fuatilia ndugu.
 
Ndio maana laana zimewaandama, huyu ajali kila siku yule kawa mlemavu wa maisha, na bado, BTW sijui kuhusu tundu lkn najua Zito alilelewa bila ya Baba, hivyo kuna kitu hana au alikosa, ...
Aliekoo juu mlemavu wa akili
 
Ndio maana laana zimewaandama, huyu ajali kila siku yule kawa mlemavu wa maisha, na bado, BTW sijui kuhusu tundu lkn najua Zito alilelewa bila ya Baba, hivyo kuna kitu hana au alikosa, ...
Kwani ulemavu wa Lisu ni wa laana au risasi za ‘watu wasio julikana’?!
 
Nchi yako ni ipi / nini; kutetea nchi yako iondokane na mambo ya ajabu ajabu kwa kuonesha uchafu ni bora au ni bora kusifia uchafu sababu tu ni wa nchi yako?

Kama kwenu wachawi na wala watu utakaa kimya ? (mficha ugonjwa uumbuliwa na kaburi) au ni bora kuelezea ukweli ukitegemea wataacha huo uchafu...

Nchi ni viongozi na utawala au nchi ni taifa, na watu wake, kwahio kipindi cha Hitler huko Ujerumani ungesifia ule ulimbukeni sababu tu wewe ni mjerumani?
 
Ni ujinga wako tu ni lazima kupiga kelele nje ili kupata haki. Vikwazo vinasaidia upatikanaji wa haki.
 
Kwahiyo ulitaka wafanyaje,? Hiyo ndio njia pekee iliyobaki ya kudai haki maana si mnajifanya dona kantri
 
Hapo kwa Raila umechemsha.juhudi zote za kuwapeleka Ruto na Uhuru ICC zilifanywa na Raila.
Raila hajawahi waambia wazungu wainyime serikali ya Kenya mikopo au misaada hajawahi tamka Hilo popote hawa was kwetu akina Lisu Ni new breed of African political puppets of Europeans and Americans

Afrika haojawahi kuwa na wanasiasa wasaliti kwa nchi zao Kama Lisu na Zitto Kabwe
 
Nani kakuambia serikali ya Tanzania inaishi kwa mikopo?
Viti maalum viko wazi unaweza peleka jinalako uwe mbungr
 
Raila hajawahi waambia wazungu wainyime serikali ya Kenya mikopo au misaada hajawahi tamka Hilo popote hawa was kwetu akina Lisu Ni new breed of African political puppets of Europeans and Americans

Afrika haojawahi kuwa na wanasiasa wasaliti kwa nchi zao Kama Lisu na Zitto Kabwe
Tulia mpini uzame kama unauma weka na uno kidogo
 
Back
Top Bottom