Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👊👊Usiwe mjinga wa kutupwa, Magufuli ndiye aliye na anayeichafua Tanzania
Kwa matendo yake ya hovyo kuwahi kutokea.
Aweke hata namba ya simu haitamsaidia maana hata hao anaotegemea wataona kaandika cha maana wanamuona mjinga piaumesahau kuweka namba yako ya simu.
Nenda ukamjaribu ndo utajua quality ya elimu yakeKwakweli tundulisu ametia aibu sana. Napata mashaka na quality ya elimu yake
Tuliza kijambio hicho wewe kima mwangaWewe na hao Akina lisu lenu moja tu
Ndio busara zenu hiziTuliza kijambio hicho wewe kima mwanga
Lisu kibogoyo huyuhuyu?Wizi wa kura uliofanywa na CCM haujawahi kufanyika popote Dunia. Vumilieni anavhowafanyia TL ni saizi yenu
Kitendo cha mtu kutumia raslimali za umma kunufaisha chama kimoja cha siasa,kwako wewe hiyo ni kuipaka manukato nchi yetu siyo?Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu hiii.
Tumewashuhudia wapinzani wazalendo Dunian kama akina Raila , Joe Biden, Julius Malema etc , huwezi kuona anatoka nje kwenda kuchafua na kunajisi nchi yake, hata kama kuna changamoto ktk inchi yake.
Wanachokifanya akina Lissu na Zitto ni dhambi kubwa ambayo inawachafua wao wenyewe na vyama vyao , na kukosa dhamano kwa wananchi.
Wajitafakari vizuri ni aina gani ya upinzani inahitaji kwa sasa lkn siyo stille hiyo ya usaliti kwa nchi na Kuponda kila kitu na kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Lissu na zitto ndo wazalendo wa kweli siyo Hao wauajiKitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu hiii.