Lissu na Zitto kuipaka matope na kuisaliti Nchi yake hakujafanywa na mpinzani yeyote Duniani

Lissu na Zitto kuipaka matope na kuisaliti Nchi yake hakujafanywa na mpinzani yeyote Duniani

Sema hivii,wanajaribu,kuwapaka rangi ili uchafu mliojipaka upungue na usiwe na madhara endelevu kwenu na wale mnaojidai kuwa tetea.
 
Kama ulimsikiliza Lissu alipohojiwa na VOA amekanusha hoja hiyo hivyo wewe unajaribu kupotosha umma.Dunia Sasa hivi ni Kijiji labda uwadanganye wa vijijini lkn hata hao nao wameamka.Jenga hoja nyingine lkn si hii ya kizushi.
 
Utopolo 5 tena
tapatalk_1603575128819.jpeg
 
Wizi wa kura uliofanywa na CCM haujawahi kufanyika popote Dunia. Vumilieni anavhowafanyia TL ni saizi yenu
 
Hao ni mercenary politicians mwl Nyerere alishatufundisha siku nyingi. Kale ka Zitto kwa ujuaji saizi kanamkosoa waziri mkuu wa Ethiopia vita ya Tigray huku Lissu akiwalaumu waangalizi wa uchaguzi wa Tz toka EAC na AU kumpendelea Magu eti dictator mwenzao kasoro Kenya.

Yaani hawa vijana hawa bora wamepigwa chini. Wanatumia ujanja ujanja kutaka kukabidhiwa watu 60m+ wawaongoze.
 
Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu hiii.

Tumewashuhudia wapinzani wazalendo Dunian kama akina Raila , Joe Biden, Julius Malema etc , huwezi kuona anatoka nje kwenda kuchafua na kunajisi nchi yake, hata kama kuna changamoto ktk inchi yake.
Wanachokifanya akina Lissu na Zitto ni dhambi kubwa ambayo inawachafua wao wenyewe na vyama vyao , na kukosa dhamano kwa wananchi.

Wajitafakari vizuri ni aina gani ya upinzani inahitaji kwa sasa lkn siyo stille hiyo ya usaliti kwa nchi na Kuponda kila kitu na kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Kitendo cha mtu kutumia raslimali za umma kunufaisha chama kimoja cha siasa,kwako wewe hiyo ni kuipaka manukato nchi yetu siyo?
 
Ni makosa kumulaumu Lissu na Zitto kwa wanachokifanya na kuacha kusema chanzo chake, wakati kila mtu anajua kuwa Lissu asingepigwa risasi na haki ingekuwa inatendeka nchini haya yote yasingekuwepo,kwa hiyo wanaopaswa kulaumiwa na kulaaniwa ni wale walioagiza Lissu auawe kwa kupigwa risasi na hawataki kutenda haki.
 
Kitendo cha Lissu na ZItto kutembea nchi za Nje na kuipaka matope na kuisaliti nchi yake na wananchi wake ni kitendo cha kinyama na ajabu na hakuna Mwanasiasa wa Upinzani Dunian aliyefanya aibu hiii.

Tumewashuhudia wapinzani wazalendo Dunian kama akina Raila , Joe Biden, Julius Malema etc , huwezi kuona anatoka nje kwenda kuchafua na kunajisi nchi yake, hata kama kuna changamoto ktk inchi yake.
Wanachokifanya akina Lissu na Zitto ni dhambi kubwa ambayo inawachafua wao wenyewe na vyama vyao , na kukosa dhamano kwa wananchi.

Wajitafakari vizuri ni aina gani ya upinzani inahitaji kwa sasa lkn siyo stille hiyo ya usaliti kwa nchi na Kuponda kila kitu na kushindwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Lissu na zitto ndo wazalendo wa kweli siyo Hao wauaji
 
Back
Top Bottom