Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Ni majuzi tu hapa nilitoa angalizo kuhusu hawa Mabwana waliojifanya ni Wana CHADEMA kwa muda mrefu kumbe ni mapindikizi ya CCM ndani ya CHADEMA
Nahisi kwa hali inayo endelea hawa vibaraka wanapswa kufukuzwa Uanachama wawe wanapenda au hawapendi
Kuna hawa watu wakiendelea kuwa ndani ya chama nahisi hakuna Amani itatokea CHADEMA na sio Leo au kesho
1:Boniface Jacob( Boni yai)
2:Lembrus Mchome
3:Martin Maranja
4:Godlisten Malissa
5:Ntobi
6:Ezekiah Wenje
7:James Mbowe etc
Hawa watu wanachofanya sio kujenga Chama bali ni kuhakikisha Chama hakipigi hatua mbele
Magu aliambiwa pia kuwa ile team nzima ya JK ni ya kuondoa kwenye Chama na serikalini lakini akaleta usukuma na Ukristo mwingi…….kusamehe samehe ndio kulimponza na hatimae wakamla kichwa
Tundu Lissu hakikisha hawa watu hawaendelei kuwa ndani ya chama chenu maanaa mikakati inayopikwa kwa sasa ni mikubwa mno