Lissu ni genius ambaye Mungu yuko naye ni ngumu kwa vilaza kumwangusha

Ndiyo kwenye nchi za taka kama zetu Genius ni tishio. Mandela, Nyerere, Gandhi wote walikuwa jela!!

Vilaza wajinga jinga kama wewe hawawezi kuelewa hilo maana mnaenda kwa matukio. Jiulize chawa anafaida gani hata Duniani
Walikuwa jela wakati Kuna wakoloni ambao kwao ni Ulaya Sasa hapa Bongo harakati ni za nini?

Pili huyo ni generous wa nini? Genius wako kama Kibaraka Lisu ana faida gani kwako na Duniani?
 
Hawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary.

Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala yake mtumieni kwa manufaa ya taifa.

Lissu ni genius ambaye Mungu yuko naye ni ngumu kwa vilaza kumwangusha

genius gani anaingia kwenye 18 za kisiasa kifala fala ivyo,​

Hawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary.

Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala yake mtumieni kwa manufaa ya taifa.

Lissu ni genius ambaye Mungu yuko naye ni ngumu kwa vilaza kumwangusha
hawamuwezi vipi wakati yuko segerea
 
Back
Top Bottom