ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Walikuwa jela wakati Kuna wakoloni ambao kwao ni Ulaya Sasa hapa Bongo harakati ni za nini?Ndiyo kwenye nchi za taka kama zetu Genius ni tishio. Mandela, Nyerere, Gandhi wote walikuwa jela!!
Vilaza wajinga jinga kama wewe hawawezi kuelewa hilo maana mnaenda kwa matukio. Jiulize chawa anafaida gani hata Duniani
👍Naunga mkono hoja lissu yuko vizuri kichwani..in short wanyaturu tuko vizuri Sana kichwani
Hawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary.
Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala yake mtumieni kwa manufaa ya taifa.
Lissu ni genius ambaye Mungu yuko naye ni ngumu kwa vilaza kumwangusha
hawamuwezi vipi wakati yuko segereaHawa wakina Kikwete na Samia kwa kufuata sheria na machawa wao hamta muweza Lissu. Ni Genius kuanzia miaka ya 1980's Ilboru secondary.
Kafunzwa vizuri, ana kipaji cha ajabu hamtamuweza. Badala yake mtumieni kwa manufaa ya taifa.
Lissu ni genius ambaye Mungu yuko naye ni ngumu kwa vilaza kumwangusha
kufurika ktk media ndani na nje ya nchi kwa lugha zote kuu za kimataifa KiEnglish n.k kuelezea kwa kina madhila tunayopitia sisi kambi ya wapinzani