Nikamwelezee nini.Kwa hiyo unataka nini mkuu. Lengo lako ni lipi haswa. Kwanini usiende kumweleza mwenyewe ikulu mpaka utuletee humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikamwelezee nini.Kwa hiyo unataka nini mkuu. Lengo lako ni lipi haswa. Kwanini usiende kumweleza mwenyewe ikulu mpaka utuletee humu.
Niyeye we ndo rais halali wa watanzaniaMgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.
Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.
Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.
Amewaambia Wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.
Yote hapo juu ni mihemuko tu! Sijaona hoja ila mihemuko tu. Labda hilo la dreva wa Lissu, kumbe mmemficha Ubelgiji? Asante for the hint!Still bado unaongea "ujinga" tu kwa sababu ni "mjinga"..
"Ujinga" na kuwa "mjinga" wala siyo tusi na kwa hiyo usije fikiri kuwa nakutukana ila ukweli ni kuwa wewe ndivyo ulivyo, yaani...MJINGA..
"Ujinga" ni "attribute" ya kitu ama mtu ikiwa na maana kuwa, isiyo ama asiye na uelewa ama ufahamu wa jambo fulani..
Huyo mtu ni wewe..
By the way;
Unafahamu kuwa Tanzania ni mwanachama wa INTERPOL? Hiki ni kifupi cha maneno "International Police"..
Na unafahamu kweli wewe kuwa Ubelgiji ni mshirika wa maendeleo wa Tanzania?
Na je, unafahamu kuwa Tanzania ina uhusiano wa kibalozi na Ubelgiji?
Kitu gani kinaishinda serikali kupitia jeshi la polisi kuagiza nchi ya Ubelgiji imlete huyo dereva kama inamhitaji kweli?
Kitu gani kimeishinda serikali kupitia jeshi la polisi kwenda hukohuko kumhojia huyo dereva kama wanadhani ni shahidi muhimu kama unavyodai?
Huyo dereva kama ulivyosema ni shahidi tu...
Je, unajua kuwa "victim" ama muathirika mwenyewe wa tukio hilo baya kabisa kutokea nchini kwetu yupo hapa nchini?
Hebu iulize serikali yako kupitia Jeshi la polisi, imemhoji? Kama HAPANA, waulize kwa nini?..
Unajua nini?
To some extent ninaweza kukubaliana na wewe kuwa dereva ni shahidi muhimu sana kwa pande zote yaani Tundu Lissu ama serikali..
Dereva anahitajika na serikali kama kichaka tu na kwa nia ovu..
Nakuhakikishia akifika kienyeji tu leo ama kesho, huyo atauwawa mara moja kufunika ushahidi dhidi ya Magufuli..!!
Uzuri wa jambo hili ni huu: JINAI HAIOZI ama HAIFI. Nakuhakikishia wote walioitenda jinai hii SOONER or LATER watalipia dhambi hii..!
Ndiyo maana mimi nakuona wewe ni mjinga tu na unajitaji kuelimishwa kuondoa huo ujinga wako..
Aidha, sisi wengine siyo wajinga na pengine wapumbavu kama wewe na wenzako huko..
Jibu la maswali haya yote ni moja tu..
KWAMBA; MUUAJI HAWEZI KUJICHUNGUZA NA KUJICHUKULIA HATUA ZA KISHERIA MWENYEWE..!!
Kama mpaka hapo hujanielewa, basi mimi sina msaada tena wa maelezo ya ziada kwako. Otherwise, endelea kuwa mjinga tu kwa kushindwa kutumia bongo yako vyema kufikiri..!!
Mkaruka, mtu hafichwi kama unavyoficha shati lako..!Yote hapo juu ni mihemuko tu! Sijaona hoja ila mihemuko tu. Labda hilo la dreva wa Lissu, kumbe mmemficha Ubelgiji? Asante for the hint!
By the way, Palm Tree, mimi ni MUKARUKA MZEE na siyo MKARUKA! Hawa ni JF members wawili tofauti! Na hiyo ni hukumu yako ila naamini kuwa mtu, huyo dreva, wa Lissu mmemficha ILI KUFICHA USHAHIDI muhimu kwenye "KESI" hii.Mkaruka, mtu hafichwi kama unavyoficha shati lako..!
Huwezi kuuona ukweli ama hoja toka kwa mtu honest kwa sababu wewe ni mnafiki..
Mtu mnafiki na asiye mwaminifu wa nafsi yake mwenyewe, hawezi kusema ukweli na kamwe hawezi kukabiliana na ukweli..!
Mtu huyo ni wewe..
Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya