Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Niyeye we ndo rais halali wa watanzania
 
Yote hapo juu ni mihemuko tu! Sijaona hoja ila mihemuko tu. Labda hilo la dreva wa Lissu, kumbe mmemficha Ubelgiji? Asante for the hint!
 
Yote hapo juu ni mihemuko tu! Sijaona hoja ila mihemuko tu. Labda hilo la dreva wa Lissu, kumbe mmemficha Ubelgiji? Asante for the hint!
Mkaruka, mtu hafichwi kama unavyoficha shati lako..!

Huwezi kuuona ukweli ama hoja toka kwa mtu honest kwa sababu wewe ni mnafiki..

Mtu mnafiki na asiye mwaminifu wa nafsi yake mwenyewe, hawezi kusema ukweli na kamwe hawezi kukabiliana na ukweli..!

Mtu huyo ni wewe..
 
By the way, Palm Tree, mimi ni MUKARUKA MZEE na siyo MKARUKA! Hawa ni JF members wawili tofauti! Na hiyo ni hukumu yako ila naamini kuwa mtu, huyo dreva, wa Lissu mmemficha ILI KUFICHA USHAHIDI muhimu kwenye "KESI" hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…