Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.
Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake.
Magufuli alikuwa hashauriki na kama washauri wake watamshauri asivyotaka yeye anawatumbua. Endapo Lissu atafanikiwa kuwa M/Kiti basi washauri wake wajiandae vilivyo.
Magufuli aliichukia rushwa, Lissu rushwa kwake ni sumu ukimfuata kwa mlango wa nyuma jiandae kutokea mlango wa mbele, kwa hili Wenje anamjua sana Lissu.
Magufuli alikuwa hatunzi siri moyoni vivyo hivyo na Lissu asivyokuwa na subra, kabla ya Magufuli kuwa rais kuna clip ilikuwa inatembea mitandaoni akisema 'Nikiwa Rais watalimia kwa meno', sielewi leo Lissu anawaza kitu gani.
WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.