Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

Lissu ni Magufuli mwingine ajaye

Quinine Wakati watu wa Kagera walipooatwa na majanga yule Jamaa aliyekuwa anaitwa Rais wa wanyonge alikula michango na kuwakejeli.

Mama na watu wa Manyara huyu hapa 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DDzTLm1tCwX/?igsh=bzd2czE0aDNjdGF4


Hizo Nyumba hazina thamani na hela tuliochanga .

Chumba sebure na choo ni sh. Ngapi ukilinganisha na pesa tulizochanga .

SSH AMEFANYA VIZURI ila angesimamia hela zetu na kuwajengea Nyumba na sio kajumba kamlinzi.
 
Hizo Nyumba hazina thamani na hela tuliochanga .

Chumba sebure na choo ni sh. Ngapi ukilinganisha na pesa tulizochanga .

SSH AMEFANYA VIZURI ila angesimamia hela zetu na kuwajengea Nyumba na sio kajumba kamlinzi.
Zenye thamani ulizojenga wewe na unaowapambania ziko wapi?
 
Lissu yupo straight hapindishi maneno kama alivyokuwa Magufuli koleo analiita koleo sio kijiko kikubwa.

Enzi za Magufuli ukifanya kosa alikuwa hasubiri akuite ofisini anakutumbua hadharani, kina Nape, Muhongo wanajua habari yake, Lissu anakwenda kuwa Magufuli ndani ya chama chake.

Magufuli alikuwa hashauriki na kama washauri wake watamshauri asivyotaka yeye anawatumbua. Endapo Lissu atafanikiwa kuwa M/Kiti basi washauri wake wajiandae vilivyo.

Magufuli aliichukia rushwa, Lissu rushwa kwake ni sumu ukimfuata kwa mlango wa nyuma jiandae kutokea mlango wa mbele, kwa hili Wenje anamjua sana Lissu.

Magufuli alikuwa hatunzi siri moyoni vivyo hivyo na Lissu asivyokuwa na subra, kabla ya Magufuli kuwa rais kuna clip ilikuwa inatembea mitandaoni akisema 'Nikiwa Rais watalimia kwa meno', sielewi leo Lissu anawaza kitu gani.

WanaChadema na Watanzania wenzangu kama tunamtaka Magufuli aliyechangamka basi twende na Tundu Antipas Lissu.
 

Attachments

  • VID-20250103-WA0019.mp4
    1.8 MB
Back
Top Bottom