Utakatifu na haki
Member
- Jun 17, 2020
- 75
- 268
Tukikumbuka kilichompata Mhe! Tundu lissu 2017, kwa mtanzania yeyote mwenye mwili na anamwabudu Mungu, mwenye huruma na upendo alimponya tundu Lissu ni Mungu tu, hili halina ubishi, mpango wa wabaya wake ulikuwa tundu lissu afe lakini mpango wa Mungu tundu lissu aishi alitumize kusudi!
Tunaenda kumpokea Tundu Lissu kwa sababu:
1: Ni Mtanzani mwenzetu
2: Kushuhudia ukuu wa Mungu alioufanya kwake
3: Ni kiongozi makamu wa watanzania zaidi ya milioni
4: Ni mwanasheria aliyesaidia watanzania wengi hasa maswala mengi ya kisheria
5: Ni mmoja wa wabunge wenye ujuzi mkubwa, weledi, ubunifu wa kujenga hoja kuliko wabunge wote waliowahi kutokea tanzania
6: Ni mhanga wa kisiasa, asiyejipendekeza, anasimamia anachokiamini
7: Ni mzalendo wa kweli
8: Mpaka Mungu amponye kuna kusudi amelibeba kwa ajili ya taifa
9: Ni mpinzani halisi!
10: Ni mmoja wa wagombea urais Tanzania!
Note: Tuache siasa pembeni hebu tujitokeze kwa wingi kumpokea Yusufu wetu mh Tundu lissu, mbeba maono! Polisi wasiwe na sababu kisa taifa tuna msiba!
Ni kweli tuna msiba mzito wa kitaifa lakini mapokezi ya lissu yametangazwa toka siku yingi! Msiba umetokea ghafula hivyo lazima vyote vifanyike!
Lissu naye lazima aje ashuhudie huu msiba mzito kwenye taifa lake!