CCM MKAMBARANI
JF-Expert Member
- Mar 15, 2017
- 2,031
- 1,514
Kweli siasa ni hesabu, tujipe muda tuAtakiongezea wigo wa ushawishi kwenye majimbo kadhaa. Ila hatoweza shinda uraisi kupitia ACT. Hata kura ya macho mimi kama mimi sitompigia 2025. mtu pekee anaweza chukua uraisi kupitia ACT in years to come though no easily possible ni yule jamaa Zitto kabwe labda na January Makamba kama amaweza toka CCM. I assure you.
Bado namuona lissu tishio,aachane na matusi tuuUshawishi wa Lissu hauna tofauti na Dr Slaa. Zama zao zimepita.
Kwamba siraha za CCM kwa maana ya Nec,policcm na nyinginezo hazitatumika?Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025,ninaamini kabisa kama mungu akituruzuku uhai lissu akiungana na akina Ismail Jussa,Lema,Babu duni,Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT
Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake,hali ya ushawishi wa lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.
Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.
Go lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.
Unajua nyumbu kama wewe ndio huwa mnaliwa na mamba,kaza shingo mkuu wa wajinga wewe.Lissu hawezi kuwa mjinga kama nyie wajane wa CCM hata siku moja
Siraha=SilahaKwamba siraha za CCM kwa maana ya Nec,policcm na nyinginezo hazitatumika?
Tulia mpuuzi weweUnajua nyumbu kama wewe ndio huwa mnaliwa na mamba,kaza shingo mkuu wa wajinga wewe.
Maana yanga hawajielewiSimba inaipangia yanga timu ya watakao ingia kupambana nayo mechi ijayo🤣🤣🤣🤣🤣
CCM wenzako hawajui hata kiswahiliSiraha=Silaha
Andika upya nitakujibu
Ideology ni kutukana tuu,sishangai maana dj ndio aliewafunza.Tulia mpuuzi wewe
AsanteNaona mtoa hoja umeamua kuwa mjukuu wa Mwakipande,good luck
Ajirekebishe,CCM NI umakini,naomba awe mwanachama wenu bwana nyumbu.CCM wenzako hawajui hata kiswahili