Lissu ni mwanasiasa mzuri, nitahama CCM kumfuata akitua ACT-Wazalendo

Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025,ninaamini kabisa kama mungu akituruzuku uhai lissu akiungana na akina Ismail Jussa,Lema,Babu duni,Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT

Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake,hali ya ushawishi wa lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.

Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.

Go lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.
Upuuzi mtupu.
ACT ipo Pemba pekee! Unatarajia nini!
 
Mugabe aliipenda mno! Zimbabwe. Museven aliipenda sana Uganda.

Huwa ni mihemko ya muda mfupi tu
 
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025,ninaamini kabisa kama mungu akituruzuku uhai lissu akiungana na akina Ismail Jussa,Lema,Babu duni,Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT

Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake,hali ya ushawishi wa lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.

Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.

Go lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.
takataka
 
Mkuu umeongea mazuri mengi,lkn unamsemea lissu kama vile ni malaika,hapana hapa tunafanya siasa,na hizi habari za lissu kutia mguu ACt zipo,hivyo ikitokea mimi nitamfuata.
Simsemei Tundu Lissu kwa kuwa alitaka nimsemee

Hapana.

Tundu Lissu ni kiongozi mwenye haiba yake very unique ambayo viongozi wengi wa kisiasa hususani siasa za Afrika ikiwemo Tanzania hawana.

Huyu jamaa haiba yake ni very genuine na ndivyo alivyo na kila mtu anaiona kwa uwazi kabisa. Ukimtazama Tundu Lissu kuanzia mdomoni na machoni unaona kwa uwazi kabisa kuwa, kile anachokizungumza kinatoka moyoni mwake..

Huyu jamaa ni mtu wa UWAZI na HAKI. Ni mtu anayependa kila mtu kuanzia viongozi wa juu kabisa mpaka raia wa chini, wawe treated kwa HAKI kwa mujibu wa sheria..

Wapo baadhi yetu kama huyu MamaSamia2025 wanajaribu kui - taint (kuipaka uchafu) haiba njema ya mwamba huyu wa siasa za Tanganyika Ili kuwafanya wapinzani wake CCM wajisikie vizuri kwa muda mfupi kwa kuwa wanapenda sifa za kinafiki huku wakijidanganya nafsi zao..

Nimem- describe hivyo kwa sababu ndivyo alivyo. He has all the qualities of a good leader..

Hayati Rais Magufuli alikuwa na sifa ya ujasiri na uthubutu wa kutenda mambo yaliyokuwa yanaonekana ni magumu. Kwa uthubutu wake, aliweza kuamua kufanya mambo mengi..

Kasoro ya huyu mwamba (Magufuli) ni Moja tu. Hakuwa anaamini ktk kufuata taratibu, sheria na katiba.

Huyu hayati, hakuwa na busara, hekima na hakupenda kutumia ushauri wa nje ya yeye. Alikuwa mbinafsi (selfish leader) na unaweza kuthibitisha hili kwa urahisi sana..

Unafikiri ni kwanini alikufa kifo cha ajabu, kizembe na cha kijinga..? Tuliache hili, tutalijadili wakati mwingine

All in all, viongozi wote wa dizaini ya Hayati Magufuli wasiopenda kufuata taratibu, sheria na katiba ili kuziongoza jamii (nchi) zao, siku zote si viongozi wanaojali HAKI..

Tundu Lissu si wa hivi. Huyu ukiachilia udhaifu wa kawaida wa kibinadamu wa kujikwaa hapa na pale, lakini kwa ujumla wake, huyu jamaa ana sifa zote za kuwa kiongozi mkuu wa nchi hii anayeweza kusaudia nchi hii kutoka hapa tulipo kwenda kwenye level nyingine kabisa..

Na kwa hiyo hana ukigeugeu unaoweza kudhani anao kiasi cha kufikiri kuwa kesho anaweza kuhamia kwenye kachama kadogo kama hako ka ACT - Wazalendo..

Kwa hiyo FUTA ndoto hiyo kwenye kabati la kumbukumbu zako maana utasubiri sana mpaka utazeeka na kufa kifo chake pasipo hicho unachosubiri kutokea..

Kama unampenda nawe ukiwa ni shabiki wake, basi ALIPO YEYE na WEWE NI LAZIMA UWEPO HUKO..

Lakini kama unatoa sharti hilo, basi wewe ni mwongo na ni mnafiki...!!

Pole sana..
 
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT

Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake, hali ya ushawishi wa Lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.

Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.

Go Lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.

Hapo baki tu uliko ndugu. Kwani wewe una umuhimu gani kuondoka huko uliko?
 
Sasa unafikiri kwa uelewa huo mdogo ulionao,unaweza kunielekeza mimi?
Ok sawa, nenda kapitie maana ya Dola, taifa na nchi Kisha urudi Hapa. Unaongelea kitu ambacho hata maana yake haujui. Unajua Dola inachukuliwa tu, acha mihemko ya kijinga.
Kama wananchi wenyewe Wana akili kama zako, CCM itatawala milele.. ivi wewe CCM unaichukiliaje kwanza....
 
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT

Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake, hali ya ushawishi wa Lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.

Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.

Go Lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.
Unajiona unajuuuwa propaganda eeh?? Kwamba utamvuruga LISSU na Cdm? Unaota upuuzi mtupu, nani mwenye msimamo bara atajiunga na chama Cha wasaliti aache alipopigania miaka na mikaka mpaka kupata ulemavu akipigania demokrasia na maendeleo!
Act wamtafute jobu labda yule mzee kisirani...
 
Mkuu umeongea mazuri mengi,lkn unamsemea lissu kama vile ni malaika,hapana hapa tunafanya siasa,na hizi habari za lissu kutia mguu ACt zipo,hivyo ikitokea mimi nitamfuata.
Zipo midomoni mwa wanaccm kama wewe.
 
Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT

Ninayasema haya baada ya kuridhika kuwa Lissu anaipenda sana Tanzania lkn kuna wanaotumika na wamagharibi kumbania nafasi yake, hali ya ushawishi wa Lissu ni kubwa na anachokosa ni sapoti kutoka visiwani.

Jambo hili likitimia ndani ya siku chache hizi basi tutatangaza kampeni kubwa kuhakikisha Lissu anakamata dola ili atusaidie.

Go Lissu go.
ACT ni mahala sahihi kwako.
Unapoteza muda wako kupiga propaganda uchwara tu hapa
 
kibaraka atahamia chama kingingine kwa ruhusa na kibali maalumu cha mabwenyenye ya magharibi yanayombackup baada ya makubaliano ya kisheria watakayofanya ili wahakikishiane yale manufaa ambayo mabwenyenye wangenufaika nayo endapo angepata uongozi kuputia chadema......

hata hivyo mzimu wa dr slaa chadema unamitia kiwewe na kwamba chairman anaonekana anaweza mzamisha kibaraka na akampatia nafasi dr slaa ambae chairman ndie anae muamini....

chairman taifa ana hofu na kibaraka kwasababu akimpa nafasi kugombea urais kupitia chadema, kibaraka atautaka na uenyekuti taifa kitu ambacho chairman hatak kuskia kabsaaa....
 
Atakiongezea wigo wa ushawishi kwenye majimbo kadhaa. Ila hatoweza shinda uraisi kupitia ACT. Hata kura ya macho mimi kama mimi sitompigia 2025. mtu pekee anaweza chukua uraisi kupitia ACT in years to come though no easily possible ni yule jamaa Zitto kabwe labda na January Makamba kama amaweza toka CCM. I assure you.
Hakuna chama Cha kushinda Urais Tanzania Nje ya CCM.

Pili Je Lisu akiamua kwenda ACT Ili agombee Ubunge Kuna shida? Hajasema lazima agombee Urais.

Hata wale COVID 19 wahamie ACT Ili Serikali iwape Majimbo kiulaini.
 
Back
Top Bottom