Lissu ni mwanasiasa mzuri, nitahama CCM kumfuata akitua ACT-Wazalendo

Lissu hana haiba ya urais na ana upungufu wa busara kichwani. Abaki kuwa mwanaharakati. Mbowe ana haiba na busara za kuweza kuwa Rais ila tatizo ni ubadhirifu. Akiwa Rais atahamishia hazina kijijini Nshara, Machame.
Kama ambavyo bi kichogo alivyohamishia kizimkazi?
 
Uongozi mpya ACT wazalenfo naona mnahaha Kila Kona Kwa mbinu kafir za propaganda za Kila Namna kusaka majina makubwa yajiunge ACT wazalendo .Mlimlaghai Membe ulaghai wenu unatosha
Mwenyewe lissu amechoka aisee,nikirusha clip yake hapa mtamuua,
 
Lissu hana haiba ya urais na ana upungufu wa busara kichwani. Abaki kuwa mwanaharakati. Mbowe ana haiba na busara za kuweza kuwa Rais ila tatizo ni ubadhirifu. Akiwa Rais atahamishia hazina kijijini Nshara, Machame.
Ukimwangalia kwa jicho la ki - CCM kama hilo la kwako, obvious utamwona kwa mtazamo au mwonekano huo yaani "asiye na busara.."

Huko kwenu CCM, definition ya "mtu kuwa na busara", ni kuwa mjinga, mpumbavu, mwizi/fisadi, mvunja sheria na taratibu na katiba, mwongo na yafananayo na haya..

Kwenu huko CCM, "mtu mwenye busara", ni yule anayeulemba na kuupaka rangi uovu na ubaya wa viongozi eti kwa sababu imeandikwa;

"......tuitii mamlaka halali iliyowekwa na Mungu....".

Yaani hiyo mamlaka hata ivunje sheria, ikiuke haki za watu, ionee watu eti watu waitii tu badala ya kuikosia, kuishauri na kuikemea kwa lugha kali. Hii kwenu ninyi huko CCM eti ndiyo busara..

Huko kwenu CCM mnadhani mtu mwenye busara ni yule anayemsema kwa lugha ya upole na unyenyekevu kiongozi mvunja sheria, taratibu na katiba ya nchi huku akimsifu kwa kila lugha ya manukato.

Hii kwenu ninyi huko CCM eti ndiyo busara..

Mimi nasema hii sio busara. Huu ni ujinga na ni upumbavu!!

Tundu Lissu hayumo miongoni mwa wajinga na wapumbavu hawa. Tundu Lissu hana busara ya kishetani na ya maangamizo kama hiyo ya kwenu huko CCM. Hiyo bakini nayo nyie..!

Pole sana MamaSamia2025
 
Mkuu umeongea mazuri mengi,lkn unamsemea lissu kama vile ni malaika,hapana hapa tunafanya siasa,na hizi habari za lissu kutia mguu ACt zipo,hivyo ikitokea mimi nitamfuata.
 
Back
Top Bottom