Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

lwaitama1

Member
Joined
Nov 8, 2021
Posts
39
Reaction score
196
Uwa siandiki Mara nyingi

Kumbukeni wananchi

Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la kukatisha wapiganaji tamaa!

Kuna wanaosema Lissu hana hela asigombee ni Hoja ya kijinga sana

SABODO alisaidia Vyama vya siasa, hakuwa na uongozi ndani ya chama chochote! kusema Mbowe ni Tajiri ili kusaidia chama lazima awe Kiongozi Hapana! Mnamkosea sana Mheshimiwa Mbowe! Kwamba asipokuwa mwenyekiti hawezi saidia? Tumchague kwa sifa zingine utajiri kisiwe kigezo kikuu

Na wengine wanasema kwamba Lissu hana sifa za kuwa mwenyekiti kwakweli

Lissu is not only suitable for the chairmanship of the party, but also for the presidency of the country! Currently in Tanzania, I don't see anyone approaching his qualities,

Soma Pia:
Behind the Curtain:Lissu is The most powerful CHADEMA’s Candidate of the modern era

Lissu leo akasema anaondoka CHADEMA tutapoteza sana

Lwaitama
 
Kwa hali ya sasa, CHADEMA bila ya Lisu, itakuwa ni sawa na CUF na NCCR. Bila Lisu CHADEMA itakuwa ni chama cha kwenye makaratasi kama ilivyo vile 14.

Wapambe wasijidanganye kuwa eti Samia atawapa wabunge wa bure alivyomwahidi Mbowe. Lakini hata kama atawapa wabunge wa bure, hiyo itamaanisha chama kimekufa na sasa kimekubali kuwa kuwadi wa CCM.
 
Ni taasisi kuliko taasisi za nchi ya tia maji tia maji
 
Mimi nimeshaapa katu kwa kipindi hiki sitakuwa sehemu ya Chadema iliyo chini ya Mbowe. Nitastaafu rasmi haya mambo ya siasa japo bado sana ila ni bora kuendelea na mambo mengine kuliko kupoteza muda bila matokeo ya msingi.
 
Lwaitam

👏👏🙌👏👏
 
SABODO alisaidia Vyama vya siasa, hakuwa na uongozi ndani ya chama chochote! kusema Mbowe ni Tajiri ili kusaidia chama lazima awe Kiongozi
Yericko Nyerere mpuuzi sana. Ni mtu ambaye anaishi kwa kutegemea hela za kulamba viatu vya Mbowe. Vita u anavyowndoka ni gelesha tu, lkn hwvimlipi. Ndiyo maana anaongea utopolo
 
Uwa siandiki Mara nyingi

Kumbukeni wananchi

Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la kukatisha wapiganaji tamaa!

Kuna wanaosema Lissu hana hela asigombee ni Hoja ya kijinga sana

SABODO alisaidia Vyama vya siasa, hakuwa na uongozi ndani ya chama chochote! kusema Mbowe ni Tajiri ili kusaidia chama lazima awe Kiongozi Hapana! Mnamkosea sana Mheshimiwa Mbowe! Kwamba asipokuwa mwenyekiti hawezi saidia? Tumchague kwa sifa zingine utajiri kisiwe kigezo kikuu

Na wengine wanasema kwamba Lissu hana sifa za kuwa mwenyekiti kwakweli

Lissu is not only suitable for the chairmanship of the party, but also for the presidency of the country! Currently in Tanzania, I don't see anyone approaching his qualities,

Soma Pia:
Behind the Curtain:Lissu is The most powerful CHADEMA’s Candidate of the modern era

Lissu leo akasema anaondoka CHADEMA tutapoteza sana

Lwaitama
Sehemu kubwa ya matusi anaelekezewa Mbowe lakini hamyaoni ! Mbowe amekiongoza hama chake mpaka sasa kimekuwa tishio kwa chama tawala. Amekimbiwa na wengi lakini hakukata tamaa ameendelea kukienga na kukipigania chama chake. Amekataa kuchukua ruzuku kutokana na msimamo wake. Lakini leo kuna watu wanadiriki kusema kuwa ni pandiki la CCM na hajawahi kusaidia chama chake na umuhimu wake haupo tena!

Kinahosikitisha zaidi ni kuwa mashabiki wa Lissu wanatumia lugha zile zile zilizokuwa zikitumiwa na CCM kumchimba Mbowe. Sitashangaa kusikia tetesi kuwa Mbowe ana mpango wa kum Chacha Wangwe Lissu na kuwa ndie aliyekuwa nyuma la jaribio la kumuua. Leo hii kweli Lissu ni wa kwenda kwenye ofisi za CDM akiwa amevaa bullet proof vest. Anataka kutuambia nini kama sio kuwa wabaya wake ndani ya Chadema wana mpango wa kumuua.

Lissu ana charisma na ni mzungumzaji mzuri kuliko Mbowe. Lakini bila structure aliyojenga Mbowe asingefika popote. Uongozi ni zaidi ya kuongea majukwaani. Uongozi ni kuweza kuwaunganisha watu walio na mitizamo tofauti na wewe. Uongozi ni kuweza kutambua fursa na hata wakati mwingine ku compromise ili lengo lako kuu lifanikiwe. Kwa sababu hiyo Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko Lissu. Lissu akiondoka CDM itaweza ku recover lakini sio kama akiondoka Mbowe. Na ninaamini pia kuwa CCM inamhofia zaidi Mbowe kuliko Lissu ndio wanafanya kila jitihada Lissu ashinde. Hata hii ya kujifanya wanampenda Mbowe ni ili aonekane kibaraka na wapiga kura wa CDM ili wampigie kura Lissu.

Pamoja na kusema yote haya nina imani kuwa Mbowe hatagombea Uenyekiti na hata m endorse mgombea yeyote. Kazi kubwa mbele yake ni kuhakikisha kuwa majeraha yeyote yanayopatikana hayasababishi umauti wa CDM.

Amandla...
 
Nakubaliana na wewe hoja zako, lakini Time ni muhimu, we Need Lissu, we Thank Mbowe for his strong leadership
 
Mkuu kama nilivgostafu mambo ya dini huu mwaka wa 10 baada ya sakata hili Bila Lissu siasa nazitupa kule.

Hatima yangu ya kisiasa imebebwa na imani juu ya Lissu na Mbowe.

Mimi nimeshaapa katu kwa kipindi hiki sitakuwa sehemu ya Chadema iliyo chini ya Mbowe. Nitastaafu rasmi haya mambo ya siasa japo bado sana ila ni bora kuendelea na mambo mengine kuliko kupoteza muda bila matokeo ya msingi.
 
Lissu yupo sahihi, wala hana makosa, hasa kwenye chama chenye utaratibu wa kufanya utaratibu wa uchaguzi wa Mwenyekiti. Ni haki yake na siyo mbaya.

And after all It is the right time kwa Mbowe kuachia madaraka kulinda heshima. Ameshakaa madarakani miaka 21. Inatosha, na amefanya mambo mema. Ni muda sahihi sasa wa yeye kuachia ngazi na wala siyo kwa ubaya.
 
Tofauti ya Mbowe na Lisu ni moja kubwa

Mbowe anaamini Chama ni taasisi sio jeshi la mtu mmoja wakati Lisu anaamini.kuw chama ni Jeshi la mtu mmoja ambaye ni yeye Lisu

Kifupi Lisu hafai kuwa kiongozi wa cheo chochote cha juu wala cha chini kwenye taasisi yeyote ikiwemo Chadema

Ni mtu asiyeamini kabisa lwenye collective responsibility.
 
Nakubaliana na wewe hoja zako, lakini Time ni muhimu, we Need Lissu, we Thank Mbowe for his strong leadership
Sio kwa namna hii. Mtu anayeingia kwenye uongozi kwa ulaghai hatakuwa nanyi wakati mnapitia magumu. Ni muda tulisikia kuwa ana shirikiana na Msigwa kumhujumu Mbowe na CDM lakini wengi hatukuamini. Sasa hivi anataka kutuaminisha kuwa Msigwa alifanyiwa mizengwe ndio maana akaondoka. Hata hiyo ya Abdul ni ya kupika kama ilivyo hii ya kuvaa bullet proof vest. Najua atamrithi Mbowe kwa sababu Mbowe hatagombea.

Natumaini wote mnaosema kuwa mko nae mtajitokeza kwa wingi akianzisha hiyo njia mbadala ya kuishinikiza serikali. From past experience, sitashangaa kama ataachwa kwenye mataa. Na mkimfanyia hivyo mara mbili tatu na kumuacha asote selo, atawalaumu na kusepa. Ila wahenga walisema, mtoto akililia wembe mpe. Na huyo mliemchoka atawaachia muuchukue huo wembe. Ni uamuzi wenu jinsi mtakavyo utumia.

Amandla...
 
Tofauti ya Mbowe na Lisu ni moja kubwa

Mbowe anaamini Chama ni taasisi sio jeshi la mtu mmoja wakati Lisu anaamini.kuw chama ni Jeshi la mtu mmoja ambaye ni yeye Lisu

Kifupi Lisu hafai kuwa kiongozi wa cheo chochote cha juu wala cha chini kwenye taasisi yeyote ikiwemo Chadema

Ni mtu asiyeamini kabisa lwenye collective responsibility.
Lissu ana amini kuwa ana uwezo wa kuwafanya watanzania wasimame nae wakati anawapigania. Atakapojikuta yuko mwenyewe ndio ata tambua kuwa tatizo halikuwa Mbowe. Hata hawa wanaomjaza upepo na kumuaminisha kuwa ana uwezo wa kutembea juu ya maji hawatakuwepo.

Amandla...
 
Kwa hali ya sasa, CHADEMA bila ya Lisu, itakuwa ni sawa na CUF na NCCR. Bila Lisu CHADEMA itakuwa ni chama cha kwenye makaratasi kama ilivyo vile 14.

Wapambe wasijidanganye kuwa eti Samia atawapa wabunge wa bure alivyomwahidi Mbowe. Lakini hata kama atawapa wabunge wa bure, hiyo itamaanisha chama kimekufa na sasa kimekubali kuwa kuwadi wa CCM.
Unaposema Bila Lisu unamaanisha nini? Kwamba Lisu akiondoka CHADEMA chama hakipo? Sidhani kama hii narartive ni sawa, Lisu ni binadamu, siyo Moyo wa Chadema, ni sawa na wale wanaosema bila Mbowe Chadema inakufa, mnakosea sana.
kama hivyo ndivyo na waondoke tuunde chama upya.
 
Sehemu kubwa ya matusi anaelekezewa Mbowe lakini hamyaoni ! Mbowe amekiongoza hama chake mpaka sasa kimekuwa tishio kwa chama tawala. Amekimbiwa na wengi lakini hakukata tamaa ameendelea kukienga na kukipigania chama chake. Amekataa kuchukua ruzuku kutokana na msimamo wake. Lakini leo kuna watu wanadiriki kusema kuwa ni pandiki la CCM na hajawahi kusaidia chama chake na umuhimu wake haupo tena!

Kinahosikitisha zaidi ni kuwa mashabiki wa Lissu wanatumia lugha zile zile zilizokuwa zikitumiwa na CCM kumchimba Mbowe. Sitashangaa kusikia tetesi kuwa Mbowe ana mpango wa kum Chacha Wangwe Lissu na kuwa ndie aliyekuwa nyuma la jaribio la kumuua. Leo hii kweli Lissu ni wa kwenda kwenye ofisi za CDM akiwa amevaa bullet proof vest. Anataka kutuambia nini kama sio kuwa wabaya wake ndani ya Chadema wana mpango wa kumuua.

Lissu ana charisma na ni mzungumzaji mzuri kuliko Mbowe. Lakini bila structure aliyojenga Mbowe asingefika popote. Uongozi ni zaidi ya kuongea majukwaani. Uongozi ni kuweza kuwaunganisha watu walio na mitizamo tofauti na wewe. Uongozi ni kuweza kutambua fursa na hata wakati mwingine ku compromise ili lengo lako kuu lifanikiwe. Kwa sababu hiyo Mbowe ni kiongozi mzuri kuliko Lissu. Lissu akiondoka CDM itaweza ku recover lakini sio kama akiondoka Mbowe. Na ninaamini pia kuwa CCM inamhofia zaidi Mbowe kuliko Lissu ndio wanafanya kila jitihada Lissu ashinde. Hata hii ya kujifanya wanampenda Mbowe ni ili aonekane kibaraka na wapiga kura wa CDM ili wampigie kura Lissu.

Pamoja na kusema yote haya nina imani kuwa Mbowe hatagombea Uenyekiti na hata m endorse mgombea yeyote. Kazi kubwa mbele yake ni kuhakikisha kuwa majeraha yeyote yanayopatikana hayasababishi umauti wa CDM.

Amandla...
Hahaha wafuasi wa Lisu, wana matatizo sana. Ushabiki umewajaa wanamuona kama Mungu. Kuvaa Bullet proof avae hata mwili mzima mimi sioni tatizo, kulinda uhai wake ni jukumu lake na Mungu wake.

Kinacho nishangaza ni pale anapopuuza juhudi za Mbowe kukilea chama na kutafuta watu wenye uwezo kujiunga na chama akiwemo yeye Lisu.

Yeyote anaweza kuwa Mwenyekiti Chadema, akiwemo Lisu mwenyewe, lakini njia anazozitumia zinakiharibu chama, na sijui akaishinda ataongoza nini, makaratasi au majengo?

Yani anavyofanya anauwa ngome ya chadema iliyojengwa na Mbowe na kwa sababu ya watu wake wachache walioko nyuma yake, eti wanamuita kichwa, mguu ni nani?

Mimi najiuliza, kama angechukua fomu ya kugombea kimya kimya na akaijaza, na kuirudisha, kisha akatangazia umma kwamba nimejaza fomu ya kugombea nafasi ya uwenyekiti angepungukiwa nini?

Lakini kelele nyingi bila sababu yoyote ya msingi, hakuzuiwa, Mbowe hamzuii mtu kugombea, na sielewi kwa nini anatafuta attention kwa wananchi ambao hata hawahusiki na upigaji kura huo.
 
Back
Top Bottom