Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

Sio kwa namna hii. Mtu anayeingia kwenye uongozi kwa ulaghai hatakuwa nanyi wakati mnapitia magumu. Ni muda tulisikia kuwa ana shirikiana na Msigwa kumhujumu Mbowe na CDM lakini wengi hatukuamini. Sasa hivi anataka kutuaminisha kuwa Msigwa alifanyiwa mizengwe ndio maana akaondoka. Hata hiyo ya Abdul ni ya kupika kama ilivyo hii ya kuvaa bullet proof vest. Najua atamrithi Mbowe kwa sababu Mbowe hatagombea.

Natumaini wote mnaosema kuwa mko nae mtajitokeza kwa wingi akianzisha hiyo njia mbadala ya kuishinikiza serikali. From past experience, sitashangaa kama ataachwa kwenye mataa. Na mkimfanyia hivyo mara mbili tatu na kumuacha asote selo, atawalaumu na kusepa. Ila wahenga walisema, mtoto akililia wembe mpe. Na huyo mliemchoka atawaachia muuchukue huo wembe. Ni uamuzi wenu jinsi mtakavyo utumia.

Amandla...
We are here postive impacting leaders not for chama, akizingua na yeye tutamsema pia.
But for now give him.benefit of doubt
 
Hili halina Ubishi kwa sasa mtu anayeweza simama mwenyewe BILA mfumo, au madaraka ! Wanaomfuata lissu hawataki Pesa kwake ni sera tu

Britanicca
Hana hela za kugawa. Anagawa Madini tu.
Tundu Lissu ni kama Chujio, wapenda pesa badala ya utawala bora kwa wananchi wote watajitenga tu. Kwa Lissu hakuna hela za kuchota😆😆😆
 
Kinacho nishangaza ni pale anapopuuza juhudi za Mbowe kukilea chama na kutafuta watu wenye uwezo kujiunga na chama akiwemo yeye Lisu.
Mkuu wewe uko biased, hakuna anayepinga Mchango.wa Mbowe, hata Lissu hakuna mahali amepinga kazi nzuri ya Mbowe, Labda kosa la Lissu ni kutamka hadharani na kuonya yabia zinazoingia mwenye chama kinachoamknima na Wananchi wengi chama safi.

Sasa anapoonya mambo mabaya kama haya kwanini aonekane mbaya? Kwamba Rushwa Kwa Mbowe itakuwa halali kwa kuwa amekilea chama?
 
Lissu ana amini kuwa ana uwezo wa kuwafanya watanzania wasimame nae wakati anawapigania. Atakapojikuta yuko mwenyewe ndio ata tambua kuwa tatizo halikuwa Mbowe. Hata hawa wanaomjaza upepo na kumuaminisha kuwa ana uwezo wa kutembea juu ya maji hawatakuwepo.

Amandla...
Alishapigwa Risasi akiwa mwenyewe akaenda Ahela( Purgotory) akawaona wafu, Mungu akamrudisha kwani bado Mision iliyomleta haijatimia.

Sasa sijui unataka kumtisha nini.

Tundu Lissu alismama peke yeke Kwenye Sakata la Migodi 1998 huko Geita kipindi wananchi wakiwa enzi za ujima, nchi nzima ccm. Alikamatwa na Rais Benjamin Mkapa akiwa peke yake, akafungwa peke yake akashtakiwa na akashinda kesi.

Lissu aliporwa ubunge Singida Jimbo lake peke yake enzi za Kikwete, akajisimamia mwenyewe kama shahidi na kama Wakili peke yake akashinda kesi jimbo likarudi, Muulize Kikwete atakwambia habari za Lissu.

Lissu akiwa Recrut JKT alisimama na kumhoji Meja aliyekuwa anaendesha Training Mbele ya Waziri Mwinyi. Hivi unajua Jeshini Recruit kupingana na Trainer unakuwa unajitafutia Kifo? He did it na marafiki zake walijua Mwisho wa Lissu umefika. He defended his aguements and won.

Lissu hajawahi kushindwa for your information
 
Hili halina Ubishi kwa sasa mtu anayeweza simama mwenyewe BILA mfumo, au madaraka ! Wanaomfuata lissu hawataki Pesa kwake ni sera tu

Britanicca
Hahaha hili unalijuaje? Watu wanatafuta pesa kwa viongozi/watawala huanza kama supporter na akichukua madaraka ndio hao wanakuwa machawa na kutusumbua kama ilivyo kwa ccm kwa sasa.

Watawala wanaweza hata wasijue tunanyanyaswa vipi, kwasababu machawa wanatushughulikia kimya kimya kumlinda bosi wao.
 
Mkuu wewe uko biased, hakuna anayepinga Mchango.wa Mbowe, hata Lissu hakuna mahali amepinga kazi nzuri ya Mbowe, Labda kosa la Lissu ni kutamka hadharani na kuonya yabia zinazoingia mwenye chama kinachoamknima na Wananchi wengi chama safi.

Sasa anapoonya mambo mabaya kama haya kwanini aonekane mbaya? Kwamba Rushwa Kwa Mbowe itakuwa halali kwa kuwa amekilea chama?
Yeye ni makamu mwenyekiti, na Chadema wana vikao na mabaraza ya kuzungumza. Anatuambia ili sisi tufanyeje?

Baada ya kueleza kachukua hatua gani kurekebisha hizo tabia zinazoingia kwenye chama?

Na wanaoziingiza kawachukulia hatua gani, au alituambia sisi ndio tuchukue hatua?
 
Uwa siandiki Mara nyingi

Kumbukeni wananchi

Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la kukatisha wapiganaji tamaa!

Kuna wanaosema Lissu hana hela asigombee ni Hoja ya kijinga sana

SABODO alisaidia Vyama vya siasa, hakuwa na uongozi ndani ya chama chochote! kusema Mbowe ni Tajiri ili kusaidia chama lazima awe Kiongozi Hapana! Mnamkosea sana Mheshimiwa Mbowe! Kwamba asipokuwa mwenyekiti hawezi saidia? Tumchague kwa sifa zingine utajiri kisiwe kigezo kikuu

Na wengine wanasema kwamba Lissu hana sifa za kuwa mwenyekiti kwakweli

Lissu is not only suitable for the chairmanship of the party, but also for the presidency of the country! Currently in Tanzania, I don't see anyone approaching his qualities,

Soma Pia:
Behind the Curtain:Lissu is The most powerful CHADEMA’s Candidate of the modern era

Lissu leo akasema anaondoka CHADEMA tutapoteza sana

Lwaitama
Huu ndio utaahira wa hicho chama Cha wajinga,inajenga mtu badala ya taasisi siku akizingua chama kina zingua.

Mwisho Kwa hiyo kwake ni ruksa kutukana na kuchagua wengine ila yeye haitakiwi kuchafuliwa si ndio? Upuuzi

View: https://x.com/VisitTanzania1/status/1869806482067468715?t=LlaES2D-6mc03txvubLHQA&s=19
 
Tofauti ya Mbowe na Lisu ni moja kubwa

Mbowe anaamini Chama ni taasisi sio jeshi la mtu mmoja wakati Lisu anaamini.kuw chama ni Jeshi la mtu mmoja ambaye ni yeye Lisu

Kifupi Lisu hafai kuwa kiongozi wa cheo chochote cha juu wala cha chini kwenye taasisi yeyote ikiwemo Chadema

Ni mtu asiyeamini kabisa lwenye collective responsibility.
hapana
 
Uwa siandiki Mara nyingi

Kumbukeni wananchi

Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la kukatisha wapiganaji tamaa!

Kuna wanaosema Lissu hana hela asigombee ni Hoja ya kijinga sana

SABODO alisaidia Vyama vya siasa, hakuwa na uongozi ndani ya chama chochote! kusema Mbowe ni Tajiri ili kusaidia chama lazima awe Kiongozi Hapana! Mnamkosea sana Mheshimiwa Mbowe! Kwamba asipokuwa mwenyekiti hawezi saidia? Tumchague kwa sifa zingine utajiri kisiwe kigezo kikuu

Na wengine wanasema kwamba Lissu hana sifa za kuwa mwenyekiti kwakweli

Lissu is not only suitable for the chairmanship of the party, but also for the presidency of the country! Currently in Tanzania, I don't see anyone approaching his qualities,

Soma Pia:
Behind the Curtain:Lissu is The most powerful CHADEMA’s Candidate of the modern era

Lissu leo akasema anaondoka CHADEMA tutapoteza sana

Lwaitama
Yaani huu ni ukweli ulio wazi, Sijui wanachadema wamekumbwa na nn, yaan lissu kwa sifa zake, wazee wa chadema wangemwomba mbowe amuunge mkono lissu Ili chama kisogee mbele zaidi.Kikubwa waangalie maslahi mapana ya nchi na chama, nje ya hapo muda utasema
 
Uwa siandiki Mara nyingi

Kumbukeni wananchi

Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la kukatisha wapiganaji tamaa!

Kuna wanaosema Lissu hana hela asigombee ni Hoja ya kijinga sana

SABODO alisaidia Vyama vya siasa, hakuwa na uongozi ndani ya chama chochote! kusema Mbowe ni Tajiri ili kusaidia chama lazima awe Kiongozi Hapana! Mnamkosea sana Mheshimiwa Mbowe! Kwamba asipokuwa mwenyekiti hawezi saidia? Tumchague kwa sifa zingine utajiri kisiwe kigezo kikuu

Na wengine wanasema kwamba Lissu hana sifa za kuwa mwenyekiti kwakweli

Lissu is not only suitable for the chairmanship of the party, but also for the presidency of the country! Currently in Tanzania, I don't see anyone approaching his qualities,

Soma Pia:
Behind the Curtain:Lissu is The most powerful CHADEMA’s Candidate of the modern era

Lissu leo akasema anaondoka CHADEMA tutapoteza sana

Lwaitama

Umeona mbali sana kiongozi ngoja tuone kama wengine pia wanaona au wanafuata mkumbo tu km jk alivosema watanzania 70% hawana mwelekeo wanaangalia wapi upepo unaelekea na kukikimbia tu kama swala
 
We are here postive impacting leaders not for chama, akizingua na yeye tutamsema pia.
But for now give him.benefit of doubt

Alishapigwa Risasi akiwa mwenyewe akaenda Ahela( Purgotory) akawaona wafu, Mungu akamrudisha kwani bado Mision iliyomleta haijatimia.

Sasa sijui unataka kumtisha nini.

Tundu Lissu alismama peke yeke Kwenye Sakata la Migodi 1998 huko Geita kipindi wananchi wakiwa enzi za ujima, nchi nzima ccm. Alikamatwa na Rais Benjamin Mkapa akiwa peke yake, akafungwa peke yake akashtakiwa na akashinda kesi.

Lissu aliporwa ubunge Singida Jimbo lake peke yake enzi za Kikwete, akajisimamia mwenyewe kama shahidi na kama Wakili peke yake akashinda kesi jimbo likarudi, Muulize Kikwete atakwambia habari za Lissu.

Lissu akiwa Recrut JKT alisimama na kumhoji Meja aliyekuwa anaendesha Training Mbele ya Waziri Mwinyi. Hivi unajua Jeshini Recruit kupingana na Trainer unakuwa unajitafutia Kifo? He did it na marafiki zake walijua Mwisho wa Lissu umefika. He defended his aguements and won.

Lissu hajawahi kushindwa for your information
Yetu macho.

Amandla...
 
Lisu ni kiongozi mzuri na mwenye maono na anaeipenda nchi yake, lakini apunguze mdomo na ujuiaji mwingi, binaadamu hutakiwi kuropokaropoka kila unachokiwaza.
 
Umeshaharibu.....umekoment kinafiki. Kuropoka ndio kudanyaje? Acha wivu ana kuzidi akili.
 
Mimi nimeshaapa katu kwa kipindi hiki sitakuwa sehemu ya Chadema iliyo chini ya Mbowe. Nitastaafu rasmi haya mambo ya siasa japo bado sana ila ni bora kuendelea na mambo mengine kuliko kupoteza muda bila matokeo ya msingi.
Na mimi kuanzia kesho panapo uzima eidha nitakuwa mwanachama mpya wa chadema au nitaacha kufuatilia siasa za Tanzania kabisa.

Mbowe ataamua niweje
 
Hili halina Ubishi kwa sasa mtu anayeweza simama mwenyewe BILA mfumo, au madaraka ! Wanaomfuata lissu hawataki Pesa kwake ni sera tu

Britanicca
Wewe ni mpumbavu nilikidharau sana na zile thread zako za eti makonda is dead
 
Back
Top Bottom