Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

Lissu ni Taasisi inayotembea, tukimpoteza tutapoteza mengi, akosolewe bila matusi

Lisu ni kiongozi mzuri na mwenye maono na anaeipenda nchi yake, lakini apunguze mdomo na ujuiaji mwingi, binaadamu hutakiwi kuropokaropoka kila unachokiwaza.
1. Utakuwa mshamba na hauna exposure yoyote.
2. Ukiwa mshama kuuficha ukweli ndio busara/hekima
3. Mtu mjanja, muwazi, mkweli husema ukweli regardless watu watamuonaje
 
Nina sikiliza audio ya Slaa, anamchana Mbowe hadi inakatisha tamaa.
Anaeleza wazi kuwa:
1. Mbowe anatumiwa na dola kwa ahadi ya kupewa wabunge na madiwani.
2. Mbowe siku zote yuko juu ya katiba ya cdm hujifanyia mambo kama saccos yake tangu mwanzo.
3. Anadai dola imejipanga kuipasua cdm siku ya uchaguzi kama ilivyofanya kwa NCCR pale Tanga.
 
Yeye mwenyewe ana matusi kama mtoto wa tandale
 
Tofauti ya Mbowe na Lisu ni moja kubwa

Mbowe anaamini Chama ni taasisi sio jeshi la mtu mmoja wakati Lisu anaamini.kuw chama ni Jeshi la mtu mmoja ambaye ni yeye Lisu

Kifupi Lisu hafai kuwa kiongozi wa cheo chochote cha juu wala cha chini kwenye taasisi yeyote ikiwemo Chadema

Ni mtu asiyeamini kabisa lwenye collective responsibility.
Ushahidi wa haya unayobwabwaja dhidi ya Lisu uko wapi?!
 
Mbowe akiendelea tu na uenyekiti chadema sitakaa niipende chadema maisha yangu yote.
 
Uwa siandiki Mara nyingi

Kumbukeni wananchi

Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la kukatisha wapiganaji tamaa!

Kuna wanaosema Lissu hana hela asigombee ni Hoja ya kijinga sana

SABODO alisaidia Vyama vya siasa, hakuwa na uongozi ndani ya chama chochote! kusema Mbowe ni Tajiri ili kusaidia chama lazima awe Kiongozi Hapana! Mnamkosea sana Mheshimiwa Mbowe! Kwamba asipokuwa mwenyekiti hawezi saidia? Tumchague kwa sifa zingine utajiri kisiwe kigezo kikuu

Na wengine wanasema kwamba Lissu hana sifa za kuwa mwenyekiti kwakweli

Lissu is not only suitable for the chairmanship of the party, but also for the presidency of the country! Currently in Tanzania, I don't see anyone approaching his qualities,

Soma Pia:
Behind the Curtain:Lissu is The most powerful CHADEMA’s Candidate of the modern era

Lissu leo akasema anaondoka CHADEMA tutapoteza sana

Lwaitama
Lissu chama kinamuhitaji, Mbowe bado pia chama kinamuhitaji, ila kubwa kuliko yote kila mmoja anahitajika ndani ya chama ili chama kufikia malengo yake ,aya ya kusema mtu flani ni taasis inayotembea ,we umeona wapi taasis inayotembea ikawa taasis, kumpamba mtu sana ndo kunazalisha uchawa.

Chadema ina watu ,wenda hata uyo lissu ,Mbowe wasione ndani, kuna watu ndani ya chadema wana moto bora ya lissu na Mbowe nawambieni.
 
Mimi nimeshaapa katu kwa kipindi hiki sitakuwa sehemu ya Chadema iliyo chini ya Mbowe. Nitastaafu rasmi haya mambo ya siasa japo bado sana ila ni bora kuendelea na mambo mengine kuliko kupoteza muda bila matokeo ya msingi.
mkuu, umeni-pre-empty!

uko sahihi sana
 
Mimi nimeshaapa katu kwa kipindi hiki sitakuwa sehemu ya Chadema iliyo chini ya Mbowe. Nitastaafu rasmi haya mambo ya siasa japo bado sana ila ni bora kuendelea na mambo mengine kuliko kupoteza muda bila matokeo ya msingi.
Ni bora kuendelea na mambo mengine bila kupoteza muda kwa mambo yasiyo na msingi
 
Kwa hali ya sasa, CHADEMA bila ya Lisu, itakuwa ni sawa na CUF na NCCR. Bila Lisu CHADEMA itakuwa ni chama cha kwenye makaratasi kama ilivyo vile 14.

Wapambe wasijidanganye kuwa eti Samia atawapa wabunge wa bure alivyomwahidi Mbowe. Lakini hata kama atawapa wabunge wa bure, hiyo itamaanisha chama kimekufa na sasa kimekubali kuwa kuwadi wa CCM.
Hakika
 
..kwa kilichotokea ktk serikali za mitaa Samia sio mtu wa kumuamini katika lolote.
 
Back
Top Bottom