ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba 80% ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.