Hii kitu Wakaaa na tu Laptop vyumbani wakijadiliana namna ya kujibu lakini wanajikuta ili waeleweke ni lazima watafute siasa za kufikilirika. Wakaa na Laptop vyumbani kutengeneza Thread naona mnahangaika sana. Kwanini mnapata tabu hivyoooo.
Mnasifia asiyekuwa na shukrani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Lissu hana Ajenda, anarukia rukia tu Mfano anashauri Wananchi wavae Barakoa wakati yeye Mwenyewe havai. Anaiichafua nchi kwa Wakenya kuwa Watanzania wanapata shida wakati Kenya Mpaka saizi wameelemewa, watu wanakufa