kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Tunza maneno mashabiki wa Madrid walikuwa hivi hivi broMagufuli atashinda mchana kweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunza maneno mashabiki wa Madrid walikuwa hivi hivi broMagufuli atashinda mchana kweupe
Msinga'nganie mkishindwa mchakato ukiwa huru yatatokea ya bwana paul ChristianKijana unafikir kukabidhi nchi ni kama kukabidhiana togwa?
Msijibu kwa Risasi nakumbuka Ben Rabuh Saa Nane alipogusa PHD ya mtesaji wetu mpaka leo hajulikani alipo sasa subiri ya Bashir kupelekwa gerezaniLissu Ni mpuuzi Kama wapuuzi wengine, yaani kwa akili zako unafikiri watanzania tuko tayari kuongozwa na mtu aliekuwa anafunuliwa marinda na mtaro huko Ubeligiji??
Kwa taarifa Lissu tunaenda kumtembezea kipigo cha Mbwa mwizi na hataamini kitakachotokea...
Upuuzi wake ni kusema ukweli mnlo mwaka huu,pambana na hali yenu.Msijibu kwa Risasi nakumbuka Ben Rabuh Saa Nane alipogusa PHD ya mtesaji wetu mpaka leo hajulikani alipo sasa subiri ya Bashir kupelekwa gerezani
[emoji2788] [emoji2788] [emoji2788] [emoji2788] [emoji101][emoji101][emoji101][emoji101]Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu...
Si wakati ule wapinzani walipoitisha mikutano wakakamatwa kuwa hawana vibali au mim nasahauHapa ndipo vyama vingi vinapokoseaga. Kuongea na kupiga kampeni bila kupiga kura hakunaga ushindi. Hakikisha unapiga kura kamanda bampami
CCM mapemaaa walipita kuhimiza wanachama wakajiandikishe kupiga kura na walijiandikisha kwa wingi kweli,
Iwapo upinzani ulikuwa na nia thabiti ya kushika Dola mwaka huu, haya yalipaswa kufanyika mapema:-Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba %80 ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Hakutakuwa na kumwaga damu atakabidhi kwa amaniNimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba %80 ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba %80 ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Magufuli atabebwa na kinachobezwa na wapinzani kuwa ni "maendeleo ya vitu" wakati wagombea wa upinzani wanategemea bwembwe zao majukwaani kwa kuilaumu Serikali, kwa matusi na madai yasiyomwongezea mpiga kura ugali mezani km Tume huru ya Uchaguzi, Demokrasia, utekaji watu nk.Wasichoelewa watu ni kwamba Magufuli na CCM yake wakati umewakataa!
Yaani majira hayakubaliani nao ingawa wanalazimisha!
Japo watu wanapuuza lakini CCM inaanguka mwaka huu... na Magufuli hana upepo kabisa!
ichumu lya,
Hii habari yako naikubali kwa 100% maana nchini kote hasa cha ajabu safari hii hata vijijini na akina mama nao pia wimbo wao ni Lissu.
Ushamba Ni ushamba tu tuna Kuna kwa kufanya makosaMakamanda kwa kutiana molali mko njema, uhalisia John pombe magufuli wa ccm atatangazwa mshindi baada ya kuongoza kwa kura nyingi sana.
Ukweli ni kwamba JPM kwa uchaguzi huu atapata kura nyingi zaidi ya uchaguzi uliyopita.
Sio rahisi kihivyo.Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba 80% ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Wanamsikiliza bange kimambiMakamanda kwa kutiana molali mko njema, uhalisia John pombe magufuli wa ccm atatangazwa mshindi baada ya kuongoza kwa kura nyingi sana.
Hakukua na mikutano kwenye kuandikisha na kuboresha daftari la wapiga kuraSi wakati ule wapinzani walipoitisha mikutano wakakamatwa kuwa hawana vibali au mim nasahau
Ndiyo ataijua nguvu za watanzania kuwa kukaa kimya siyo kuogopa bali ni heshima na uvumilivuThis time around Jiwe Magufuli ataita maji...."MMA".…...[emoji1787][emoji1787]
Magufuli atabebwa na kinachobezwa na wapinzani kuwa ni "maendeleo ya vitu" wakati wagombea wa upinzani wanategemea bwembwe zao majukwaani kwa kuilaumu Serikali, kwa matusi na madai yasiyomwongezea mpiga kura ugali mezani km Tume huru ya Uchaguzi, Demokrasia, utekaji watu nk....