ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Hakuna mwingine.Ubarikiwe sana kiongozi.
Ni yeye Lissu
Imenitisha kabisa kikubwa ni kuhakikisha anayeshinda anatangazwa mapema ili kuepusha vurugu.ichumu lya,
Hii habari yako naikubali kwa 100% maana nchini kote hasa cha ajabu safari hii hata vijijini na akina mama nao pia wimbo wao ni Lissu.
Amina.Ubarikiwe sana kiongozi.
Ni yeye Lissu
Kwekweli uchaguzi huu nizaidi ya chaguzi zote naona waliompiga Risasi walimwandaa kuwa Raisichumu lya,
Hii habari yako naikubali kwa 100% maana nchini kote hasa cha ajabu safari hii hata vijijini na akina mama nao pia wimbo wao ni Lissu.
Ata mimi nataka ashinde mchana sio usiku kama alivyopewa ushindi 2015 alipewa usiku,unakumbuka?Magufuli atashinda mchana kweupe
Mnataka kuikabidhi kama konyagi? Kwisha habari yenu.Kijana unafikir kukabidhi nchi ni kama kukabidhiana togwa?
Hii inaitwa wakati ni ukuta. Ukifika haijalishi nani yuko madarakani kwa sasa.Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba %80 ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Ndiyo mnavyo jidanganya lol, poleni.Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba %80 ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Kijana hii ni nchi siyo umonitor wa chekechea.Mnataka kuikabidhi kama konyagi? Kwisha habari yenu.
Kwa Sera gani ya kuwatukuza Wakenya na WakoloniNimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.