Uchaguzi 2020 Lissu ni zaidi ya Lowassa, kaeni mkao wa kukabidhi Nchi kwa Amani

[SUB]Ndio maana mataga hatutaki upumba.#$=××÷@[/SUB]
 
Hayo yote yamwfanywa kwa fedha za Watanzania wala hakuna aliye toa fedha zake za mshahara. Wacheni kuwadanganya watu.
Sasa yeye au wewe ulitaka zitumikaje??
Na nyinyi mkija mtafanya kitu gani tofauti na yeye??
Kutetea wapigaji, na kuwadanganya wananchi maisha hewa , wakati kuna Mwenyekiti wa saccos aliyewekeza hela zake na genge lake nia yao ni kurudisha fedha zao na faida kupitia hawa hawa wananchi mnao wadanganya
 
Wewe unaonekana hujawahi toka nje ya nchi hata mara moja. Mbona hivyo vitu si lolote. Jaribu kwenda nairobi tu, hata Kampala hizo mnziita flyover huwezi hesabu.
 
Sijaona ile mbuga ya Chato,Kiwanja cha Chato na Ile hiteli ya kitalii Chat😵ngeza hapo
 
Hakuna kitu mtafurahi na kumpa airtime ya kutosha kama siku Lissu atamke hayo maneno. Mko desperate kweli lkn hawezi yule jamaa, ameonesha kwa vitendo nini maana ya kuwa mwanaume mwenye msimamo. He is a living legend for me hakuna anayeweza kuukaribia uzalendo wake kwa hii nchi, Mungu ambariki sana.
 
Siasa naweza kuifananisha na mchezo wa mashindano ya pikipiki, Unaweza kupaaza sauti ukadhani kadamnasi iliyokuzunguka inakusikia, kumbe inakuwa inakuangalia tu, kwa Sasa Lissu atulie labda ajaribu kuchachamaa 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…