OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
"Nikishinda... na kule Bara nna uhakika atashinda Lissu... atanrudishia watu wangu" Maalim Seif. Hao Masheikh hakuna mtu ndani ya sisiemu anawazungumzia!Hivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Akiijubu mnistue aisee nije nishuhudie vituko!Hivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Umeleta Uzi alafu unakuwa mtu wa pili Ku comment baada ya kuanzisha Uzi.Hivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Alimfungulia babu Seya labda alichanganya mafaili..🙄😁Hivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Changia hoja achana na petty issues. Uzi ulizuiliwa na Mod ulipokuja kuachiwa tayari ukawa page za mbali,so nilifanya kuuibuwa tuUmeleta Uzi alafu unakuwa mtu wa pili Ku comment baada ya kuanzisha Uzi.
Vituko!
kwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
kana kwamba hujui kama Magu alizuia siasa tangu alipoingia madarakani na kuleta sheria kandamizi za kuzuia kuongea. Haitoshi baada ya Magu kuingia madarakani Lowasa alichikonoa hili, Magufuli akasema hatasita kumchapa bila kujali mwendo wake.kwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Kuwaweka watu detention hasa ukijua wanaweza kukughasi katika 'uovu' wako ni kawaida ya madikteta wote.Mimi muumini wa sheria na kisheria walitakiwa wafunguliwe mashtaka hukumu itolewe ila kuwafunga watu miaka bila kesi hilo tatizo kubwa lakini nataka niende mbali kidogo tusitumie hii issue kisiasa zaidi kupatia kura ila iwe ni kwa wote ambao kwa sababu moja au nyingine wako ndani au mahabusu bila kuhukumiwa kinyume sheria wafanyiwe haki. Hapa angesema siku 100 za mwanzo nitahakikisha mahakama inasimama kama huru na sheria za kesi zinafuatwa maana sheria ziko na makosa yote kuwa na dhamana na sheria za dhamana ziko haki itendeke kwa wote.