GE2020 Lissu: Nikichaguliwa, ndani ya siku 100 za kwanza masheikh wa Uamsho wataachiwa huru

Mama anakwenda vizuri. Bila shaka hata MATAGA wanakiri hilo maana Mama = JPM.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Mama aliposema yeye is equal to mwendazake, alitumia hekima sana kwa wafuasi wa mwendazake.

Matendo sasa ndio yewaacha midomo wazi
 
Jakaya kawaacha humo ndani na walikamatwa kipindi chake na yeye ni muislamu mwenzao wewe na upuuzi wako hujui hta kuomba kura unafikiri ndiyo njia ya kupatia kura hiyo? honi sasa zanzibar imetulia? wana kesi ya kujibu hao usifikiri watu hawajui wewe pekeyako ndiyo hujui au unajua akini unajitoa akili tu
Kwamba?
 
View attachment 1602807

Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.

Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.

Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.

Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Malaria 2 soma hii kibwengo wewe
 
Vipi Masheikh nao wanamtetea as alivofanya yeye??
 
CHADEMA mmepoteza Dira
20250410_122039.jpg
 
Back
Top Bottom