othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Sio Waisilamu wote wanaoshabikia CCM 2015 walidanganywa kuhusu Mahakama ya kaziHalafu unakuta muislamu anashabikia haya kwa kuwa sehemu ya udhalimu
Hii si habari ya Waislamu au Wakristo.Mwacheni JPM mashehe walikamatwa na waislamu wenzao na rais wote wawili na Znz na SmT wote ni waislamu sasa leo jumba anaangushiwa JPM mbona Belgium au USA au Uk au Amnesty hatuwaoni kulalamika? Haki za binadamu wapo wapi?
Wapo wanaomshabikia mbaguzi wa dini kwenye teuziSio Waisilamu wote wanaoshabikia CCM 2015 walidanganywa kuhusu Mahakama ya kazi
Safari hii wengi wako ACTwazalendo na kura za Raisi wanazimimina kwa Jemadari Lissu the Greatest
Akijibu mnaasema anaingilia mahakama,, Hiyo kawaida yenu jakuna anayewashangaaHivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Hao ni wale jamaa zake na Jafo hawana habari wao ni Ngomani tuWapo wanaomshabikia mbaguzi wa dini kwenye teuzi
Haki inatafutwa wakati wowote, ni vizuri umekubali kuwa yote hii ni siasa tu sio kwamba linawauma sana hawa mashekh wamefungwa toka wakati wa Kikwete hatukuona watu kuwalilia 2015 tulisikia Babu Seya nikichaguliwa nawaachia na Magufuli akaingia katika siasa hizo chafu akawaachia watu wamehukumiwa sasa 2020 wote wanatumia karata ya uamsho tena.Kwani mwanasiasa kutafuta kura imekatazwa?
Unategemea mwanasiasa asitafute kura? Nini maana ya kampeni?
Kama anataka kusimamia haki na ili asimamie haki anahitaji kura, kutafuta kura ili asimamie haki kuna tatizo gani?
Ni jpm mitano tenaNi matumaini yangu wapenda haki wote bila kujali vyama vyenu.
Chagua haki
Hii ndiyo thawabu pekee tuliyobaki nayo kabla hatujaiacha dunia na mambo yake
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kasome mihimili inavyofanya kaziAkiijubu mnistue aisee nije nishuhudie vituko!
Maumivu yakizid muone daktaliView attachment 1602838
Shekhe mkuu wa dsm kazi kulamba miguu ya watawala tu hawezi kuwatetea wenzie
Ushasema haki inatafutwa wakati wowote, kwani wakati wa uchaguzi si ndani ya huo wakati wowote?Haki inatafutwa wakati wowote, ni vizuri umekubali kuwa yote hii ni siasa tu sio kwamba linawauma sana hawa mashekh wamefungwa toka wakati wa Kikwete hatukuona watu kuwalilia 2015 tulisikia Babu Seya nikichaguliwa nawaachia na Magufuli akaingia katika siasa hizo chafu akawaachia watu wamehukumiwa sasa 2020 wote wanatumia karata ya uamsho tena.
How can he answer stupidity?Hivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Upizani ulishakufa tangu kipind cha Dr slaa, saiv tuna upigaji... Hawana sera nyingnekwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Kauli hii moja kwa moja inaonyesha nia iliyojificha ya Lissu ya kuhakikisha Tanzania inaingia kwenye mgogoro na vurugu ili wale wanaodhaniwa kumtuma watimize azma yao ya kuitokomeza Tanzania kama alivyowahi kuahidi Lissu mwenyewe. Katika suala hili, Lissu alitakiwa kutumia lugha unganishi kwa watanzania badala ya lugha farakanishi aliyoitumia. Kutaja kuwa watanzania wa dini fulani ndiyo wahusike kufuatilia suala la namna hii inaonyesha wazi Lissu ana nia ovu dhidi ya Watanzania. Kwa hili lazima Lissu aadhibiwe kwa kunyimwa kura katika ifikapo tarehe 28/10/2020.Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Lowasa alisema haya hayaView attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
SoSo what?
Yani ulitaka Tundu Lissu aseme "Mimi natetea haki za mashehe wa uamsho tu, sitetei haki za Watanzania wengine wowote"?Kasema specific mashekh wa uamsho na wengine sasa nauliza hao wengine kina nani na anawajuaje hao wengine huko tunaelekea kulekule kwa kina Babu Seya. hii ni kutafuta points tu ila kama asingetaja kikundi chochote na kuongelea kiujumla system yote ya watu kukamatwa bila kufungulia kesi halafu ndio angechambua ni kina nani na nani.
Buku? Bila makosa?Kwani wewe unaona Mashekhe buku moja wanapozwa Magerezani ni wachache?