Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Kati ya hao laki 5 waliofaulu ni wangapi!?[emoji706]
 
Aliongoza sababu faculty nzima ilikuwa imejaa vilaza wenzie.

Angekuwa smart tungeona mchango wake hata hapo CDM tu hasa kwenye masuala ya sheria(kitengo alichokiongoza) na hasa Katiba ya chama hicho ya 2006.

Katiba imekaa kama ya shirikisho la mpira wa mguu mwanachama wa FIFA hakuna mwanachama kwenda mahakamani.

Kila mtu ni genius inategemea unamlinganisha na nani.
 
Unataka kumjua na wewe akutekenye?
Aka, mtekenyane huko huko, mimi nimeoa sihitaji vya kunyonga. Hapa zinatakiwa HOJA. kujichekesha chekekesha hukohuko ccm kwenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…