Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu. Na ni very selfish huyu jamaa!!!

Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Kati ya hao laki 5 waliofaulu ni wangapi!?[emoji706]
 
Aliongoza sababu faculty nzima ilikuwa imejaa vilaza wenzie.

Angekuwa smart tungeona mchango wake hata hapo CDM tu hasa kwenye masuala ya sheria(kitengo alichokiongoza) na hasa Katiba ya chama hicho ya 2006.

Katiba imekaa kama ya shirikisho la mpira wa mguu mwanachama wa FIFA hakuna mwanachama kwenda mahakamani.

Kila mtu ni genius inategemea unamlinganisha na nani.
 
Unataka kumjua na wewe akutekenye?
Aka, mtekenyane huko huko, mimi nimeoa sihitaji vya kunyonga. Hapa zinatakiwa HOJA. kujichekesha chekekesha hukohuko ccm kwenu
 
Back
Top Bottom