Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Hiyo misaada unayoililia inakuasaidia nini wewe binafsi.Huwazi suala la kuikomboa nchi yako iepukane na misaada,unawaza kupewa tu misaada kila siku,ndio nyie mnaambiwa muoane wa jinsia moja ili mpate misaada
 
Huyo lowasa fisadi mbona yupo huko huko barazani kwenu tumbusi wewe au ndio kusema ccm wote akili ni za vilabuni
 
Kwani johntheBaptist anasemaje?
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Mmesababisha akakimbia nchi, halafu leo mnamuona mbaya kwa kukimbia nchi, nyie ni mizigo ya hili taifa.
 
Huyo fisadi Lowassa mbona alipokelewa na mwenyekiti wa Ccm taifa kwa sherehe pale Lumumba ?!. Au siku hiyo ulivaa miwani ya mawe ?!
 
Pumba
 
Maprofesa wapo wengi tu, wenye taaluma zao kubwa, tatizo wameamua kuzikimbia taaluma zao na kwenda kwenye siasa ambapo kuna maslahi zaidi, huko wamejikuta wanageuzwa watumwa na wenye akili ndogo zaidi yao nao kushindwa kujitetea kwasababu ya kutetea ugali wao, maprofesa wetu wamekuwa watumwa wa laymen.
 
Nikukumbushe- Aliutambua mchango ( kwa kumtaja jina) wake mkubwa uliowasaidia sana kufikia maamuzi katka mijadala.
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!

Best student asiye na manufaa yoyote kwa taifa lake
 
Lissu alikuwa kichwa cha Ilboru..Pale chadema wamejaa vichwa
. Mnyika nae amewahi kuwa mwanafunzi bora kitaifa form 4 na form 6
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…