Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Lisu akili kubwa Kwa lipiii?! Amekua Mbunge miaka karibia 10
Pita wilaya Ikungi uone wanavyonuka umaskini? Eti profesa my foot.
Lisu Hana chochote aache kudanganya watu hapa. Jinga sana.
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Ameenda huko kwa sababu gani??? Angekufa pale dodoma unafikiri angekuwa hapo??? Hata kama ni mimi nisingeishi kwenye nchi ambayo ilitaka kuondoa uhai wangu!!! Tundu lissu ni mshindi na ndo maana anayepigana Naye anaondoka yeye!!!wewe ni shahidi wa hilo!!! Urais alishinda wakampora aliyempora hayupo! Ila yeye yupo, waliopanga mauaji yake wanapukutika kila siku ila yeye anachanja mbunga!! Wewe hujifunzi tu!!
 
Serikaa
Lisu akili kubwa Kwa lipiii?! Amekua Mbunge miaka karibia 10
Pita wilaya Ikungi uone wanavyonuka umaskini? Eti profesa my foot.
Lisu Hana chochote aache kudanganya watu hapa. Jinga sana.
Serikali yako wewe imekufanyia nini kwa miaka 60??? Si ndo hao hao leo wanakuja na tozo eti kupeleka Barbara vijijini, kwa hiyo unataka uniambie hivyo vijiji vyote vilikuwa vinaongozwa na tundulissu sio???? Au hapo ikungi hapakuepo na mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, mkurugezi,nk!! Umasikini tulionao umechangiwa na CCM, mpaka sasa wanaendeleaa kututia kwenye umasikini!!! Tundu lissu ni mshindi siku zote ndo maana yeyote atakayeshindana Naye ataondoka yeye!!!
 
Mkuu ukielewa siasa hivi vitu ni vya kawaida sana, maslahi huwekwa mbele zaidi, mengine baadaye.
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Sasa na wewe mada zako za mikasa ya kulogwa humu jamii forum huwa inalisaidiaje taifa? Try to appreciate others the way unavyokuwa appreciated na wengine.In short,Wapende wengine kama unavyojipenda wewe pasipo ubinafsi-Ni jambo lifaalo machoni pa MUNGU.
 
Lisu akili kubwa Kwa lipiii?! Amekua Mbunge miaka karibia 10
Pita wilaya Ikungi uone wanavyonuka umaskini? Eti profesa my foot.
Lisu Hana chochote aache kudanganya watu hapa. Jinga sana.
Lisu akili kubwa Kwa lipiii?! Amekua Mbunge miaka karibia 10
Pita wilaya Ikungi uone wanavyonuka umaskini? Eti profesa my foot.
Lisu Hana chochote aache kudanganya watu hapa. Jinga sana.
si ikungi tu hata hapa kongwa kwa anduje.
 
Utafiti ule wa TWAWEZA kuwa CCM inapendwa na kuungwa mkono zaidi na watu wenye elimu na uwezo mdogo wa akili, ni dhahiri.

Hata ukiangalia hapa jukwaani, fuatilia hoja za wapambe wa CCM, kwa kiasi kikubwa inaashiria low IQ.

Nami niweke wazi hapa - hapa nyumbani nilimaliza nikiwa second best science student. Na kwenye shahada ya pili, kule America ya Kaskazini, nilikuwa best student.
 
Kifo si tafsiri ya kwamba aliye hai ni mshindi. Kuna wazee wa miaka mingi tu makatili na wapo hai wakiendeleza ukatili ilihali kuna watoto wadogo wanafariki. Hao wazee sio washindi.
 
Wapi Mimi nilileta mada ya kulogwa humu jukwaani mkuu? Hebu pitia profile yangu ulete hapa hiyo mada, by the way lissu Ni mpuuzi mkubwa Sana hapaswi kuchekewa,Ni hatari kwa msitakabali wa taifa letu.
 
Wapi Mimi nilileta mada ya kulogwa humu jukwaani mkuu? Hebu pitia profile yangu ulete hapa hiyo mada, by the way lissu Ni mpuuzi mkubwa Sana hapaswi kuchekewa,Ni hatari kwa msitakabali wa taifa letu.
Kwa nn unadhani ni hatari kwa taifa?
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
wewe tulia wewe Lissu ndo mwanaume aliyepambana na magufuli na serikali yake na akamshinda mwenda zake
 
Katika dalasa la vilaza watupu, pia kuna best student! Hivyo mambo ya darasani Lissu asiyalete hapa. Huenda darasa lake lote walikuwa na uwezo mdogo!
 
Mpumbavu tu huyu. Kila siku kujisifia utafikiri miaka mingine haikuwa na ma best students.

CV ya huyu bwana hapa:

ina kipengele ndani kuwa alikuwa best student DS100 UDSM.

Vipi labda ungejinasibu japo kumstua kuwa huo ni upumbafu?
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Misaada ya mabeberu ya nini?!
Wakati sie ni matajili na tunaweza jitegemea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…