Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Best student siyo wa kukubaliana na kura za kwenye mabegi. Ukiwa best student halafu ukasimama upande wa udhalimu, u best student wako unakuwa hauna maana. Nyerere alikuwa na choice ya kuendelea kufundisha Pugu na kupata mshahara kwa ajili ya familia yake lakini Mwalimu alijiuzuru na kwenda kudai uhuru wa Tanganyika. Hivyo hivyo Mandela kwenye sheria kule South Africa. Lissu yuko kundi hilo. Hayuko katika kundi lenu la kuchumia tumbo.
Best student asiye na manufaa yoyote kwa taifa lake
 
Huyo fisadi Lowassa mbona alipokelewa na mwenyekiti wa Ccm taifa kwa sherehe pale Lumumba ?!. Au siku hiyo ulivaa miwani ya mawe ?!
Kwahiyo kama CCM ikipokea fisadi na nyie upinzani mnafanya hivyo hivyo. Sasa kuna faida gani ya kuchagua chama kingine mbadala wa CCM ikiwa vyama hivyo finafanana kila kitu na CCM?
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Amelisaidia sana taifa kulikoni huyo laanatullah aliyekwenye avatar yako.
 
Unataka kila mtu ajitangaze humu alikuwaje skuli au chuo? Huyo Lissu ataonekana boya tu!!
Jitangaze tu jinsi ulivyokuwa kilaza wa mwisho.
Hakuna mwanachama wa chama chakavu wa sasa mwenye akili.
Shahada za kufoji kama za Madelu + mwendakuzimu.
 
Wewe ni mwalimu?? basi Kuna nati imelegea kichwani.
 
Wewe ndo wa hovyo maana hujui mchango wa Tundulisu ktk hili taifa.muulize ana makinda
 
Twende mbele turudi nyuma,Raia wa kawaida hata akifurukuta vipi,hawezi kuleta madhara kwa nchi.
Mh TL,na mijitu ya ccm nani anaiumiza nchi,hebu sema haya madudu yalifanywa na nani?
Wasiojurikana,Ufisadi wa Richmond,escrow,rada,wizi wa hazina,watumishi hewa,ufisadi NIDA,msd,tuache mahaba na ccm hata kama tunafaidika na makombo yanayo dondoka chini ya meza

 
genius Ni mtu gani?
 
Nani kakwambia niliishia Form Four?

Au umegeuka mganga?

You even dont know me,halafu unanisemea as if nimekutuma

Ongea kitu una uhakika nacho,na kama huna uhakika sema "ninahisi" au "nina speculate" ili ibakie ni speculation
idadi ya madarasa yawe mengi au machache hayana maana mpaka tuone positive impacts zake.
 
Siasa naijua na kamwe siwezi kukubali kuyumbishwa, kushikiwa akili au kutumiwa kama daraja la kufikia mafanikio ya wanasiasa wachovu na uchwara kama unavyotumiwa wewe. Mw Nyerere aliwahi kusema mtu mjinga akikudanganya kwa maneno ya hovyo, afu na ww ukakubaliana na uongo ule huku ukijua kuwa unadanganywa kwa kisingizio cha siasa. Basi ww utakuwa ni zaidi ya kopo la chooni kwa yule mdanganyifu. Mwaka 2015 Chadema hata bila Lowasa ilikuwa na opportunity kubwa kupitia Ukawa. Ambapo wapiga kura wengi wa vyama vya upinzan vyote wangepiga kura zao kwa mgombea ambae angetoka ndan ya Chadema hata angekuwa Sugu, achilia mbali yule mliokuwa mnamwita raisi wa mioyo yenu (dr Slaa) maana CDM ndio kilikuwa na nguvu kama tulivyoona. Na hapo sijataja wafuasi wa Dr Slaa na Lipumba ambao hawakupendezewa na jinsi mchakato wa kumpitisha mgombea ulivyofanyika. Hawa wafuasi wa hii miamba miwili wengi hawakupiga kura, na wengine kuipigia CCM kabisa baada ya kugundua uhalisia wa wapinzani wachumia tumbo. Ila njaa ndo imemfanya mwanasheria auze utu wake na heshima yake kwa ujumla.
 
bado anabaki kuwa mtu mwenye akili na uwezo mkubwa kabisa kuliko wewe
Yan ni kweli jamaa ana akili sana ndugu yang. Si unaona wanavyotafuna hela za chama na mwenyekiti, huku wakiwadanganya nyumbu wao kwamb wanatafuta hela za kujenga ofisi kuu ya chama!!

 
Usiwe mwongo. Mimi nilipewa nafasi ya kubakia chuo na kuwa Assistant lecturer, nilikataa. Na Wenzangu wawili kwenye darasa letu walikataa. Kwa hiyo mwaka wetu hakuna aliyebakia kufundisha. Hata mwaka uliofuata, wote walikataa. Wakati ule opportunities zilikuwa nyingi. Darasani mwetu, wote tulikuwa na barua za ajira, wiki moja kabla ya kumaliza.

Nilikuwa na barua ya ajira yenye starting salary $1,500, wakati Assistant lecturer wakati huo, mshahara wake ulikuwa haufiki hata $1,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…