kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Wala sio best lawyer in town. Ukasuku tu ndio unawapeni tabu.Mh Lisau hata kama asingekuwa best student still ni Best Lawyer of all times
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala sio best lawyer in town. Ukasuku tu ndio unawapeni tabu.Mh Lisau hata kama asingekuwa best student still ni Best Lawyer of all times
Acha wivu. Wenye akili wanamjua.Wala sio best lawyer in town. Ukasuku tu ndio unawapeni tabu.
Best student asiye na manufaa yoyote kwa taifa lake
Kwahiyo kama CCM ikipokea fisadi na nyie upinzani mnafanya hivyo hivyo. Sasa kuna faida gani ya kuchagua chama kingine mbadala wa CCM ikiwa vyama hivyo finafanana kila kitu na CCM?Huyo fisadi Lowassa mbona alipokelewa na mwenyekiti wa Ccm taifa kwa sherehe pale Lumumba ?!. Au siku hiyo ulivaa miwani ya mawe ?!
Amelisaidia sana taifa kulikoni huyo laanatullah aliyekwenye avatar yako.Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Jitangaze tu jinsi ulivyokuwa kilaza wa mwisho.Unataka kila mtu ajitangaze humu alikuwaje skuli au chuo? Huyo Lissu ataonekana boya tu!!
Msaliti kashaliwa ni wadudu huko chato bado moto sasa.Lisu ni msaliti na mpumbavu sana.
Ameiharibu kabisa chadema
Wewe ni mwalimu?? basi Kuna nati imelegea kichwani.Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Wewe ndo wa hovyo maana hujui mchango wa Tundulisu ktk hili taifa.muulize ana makindaAngekua mwanasheria au profesa mzuri wa sheria lakini ametokea kua mwanasiasa wa ovyo sana. Yote ni kutokana na kutumia uanasheria kama wakili kwenye siasa. Kwenye uwakili wengi hawajali haki iko wapi. Unatumia ujuzi wako wa sheria mteja wako ashinde kesi hata kama sio mwenye haki. Mteja anakulipa pesa ili ashinde sio ashindwe kesi.
Kwenye siasa mwanasiasa wa kupendwa na kukubalika ni yule anayetetea haki. Atapingana hata na wanasheria ili kutetea haki.
Twende mbele turudi nyuma,Raia wa kawaida hata akifurukuta vipi,hawezi kuleta madhara kwa nchi.Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
genius Ni mtu gani?We kubwa la misukule unatakiwa ujue kwamb hapa JF unaongea na genius mbali mbali, kwahiyo usikurupuke kama vile umefu mpaka 2015 Chadema kiliingia na sera ya kupambana na mafisadi mbali mbali nchini, na kikawatuhumu baadhi ya viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla kuwa ni mafisadi. CCM kwa kulitambua hilo wakaamua kubadili mwelekeo wa mgombea huyo (fisadi kuu) na kupitisha jina la mtu mungine. Sasa kulikuwa na ulazima gani au faida gani ya chama kilichopiga vita ufisadi na mafisadi waamue kumpitisha huyo fisadi awe mgombea wao? Kwanini wasingempitisha mtu ambae hana sifa hizo za ufisadi huko katika chama chao? Inamaa
aibu kivipi , fafanuaMama Samia alikosa sifa za kusoma kidato cha 5 na 6. Aibu
aibu kivipi , fafanuaMama Samia alikosa sifa za kusoma kidato cha 5 na 6. Aibu
idadi ya madarasa yawe mengi au machache hayana maana mpaka tuone positive impacts zake.Nani kakwambia niliishia Form Four?
Au umegeuka mganga?
You even dont know me,halafu unanisemea as if nimekutuma
Ongea kitu una uhakika nacho,na kama huna uhakika sema "ninahisi" au "nina speculate" ili ibakie ni speculation
Arguments za watoto au watu wazima wajinga wa vijiweni.
Unaijua siasa wewe? Unajua faida ya wakati ule kwa Chadema kama chama cha upinzani juu ya kumchukua Lowassa?
Umewahi kujiuliza kwa nini nyinyi CCM nanyi Lowassa alipokuwa Mgombea wa Chadema mlimtangaza sana kuwa anajinyea jukwaani lakini siku anarudi viongozi wenu wote wakiongozwa na huyo Magufuli walijipanga foleni Lumumba kumpokea kifalme?
Usiwe unajibu maneno yenu ya vijiweni kwenye mada muhimu kama hii.
Yan ni kweli jamaa ana akili sana ndugu yang. Si unaona wanavyotafuna hela za chama na mwenyekiti, huku wakiwadanganya nyumbu wao kwamb wanatafuta hela za kujenga ofisi kuu ya chama!!bado anabaki kuwa mtu mwenye akili na uwezo mkubwa kabisa kuliko wewe
Mbowe macho matatu ...Yan ni kweli jamaa ana akili sana ndugu yang. Si unaona wanavyotafuna hela za chama na mwenyekiti, huku wakiwadanganya nyumbu wao kwamb wanatafuta hela za kujenga ofisi kuu ya chama!!
View attachment 1901403
Usiwe mwongo. Mimi nilipewa nafasi ya kubakia chuo na kuwa Assistant lecturer, nilikataa. Na Wenzangu wawili kwenye darasa letu walikataa. Kwa hiyo mwaka wetu hakuna aliyebakia kufundisha. Hata mwaka uliofuata, wote walikataa. Wakati ule opportunities zilikuwa nyingi. Darasani mwetu, wote tulikuwa na barua za ajira, wiki moja kabla ya kumaliza.Best students wote walibakia kuwa Assistant Lectures pale Mlimani
Kama hakubakizwa Ni wazi hakuwa na sifa stahiki hivyo asidanganye Kuhusu ukosefu was bajeti kwani bajeti ya kuwasomesha haijwahi kuwa tatizo
Unakuwa Professor baada ya KUPITIA mchakato wa kitaaluma kuanzia Asst Lecture, Lecturer, Senior Lecturer, Associate Professor & Professor
Mchakato huo una vigezo vya kitaaluma na muda maalumu ili upande kutoka ngazi moja kwenda nyinginezo
Mwenye utambuzi, maarifa na uwezo wa kujua mambo mengi ya faida.genius Ni mtu gani?