Lissu hana sera bali anasubiri Magufuli kesho afungue kampeni, atakachokuwa anaongea Magufuli basi Lissu atakuwa na kazi ya kumjibu. Kimsingi Lissu bado viatu vya Urais havimtoshiLissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi,asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iloyopita...
Siku ya kwanza tu anatoa pasi fyongo?je akichanganya si ile mihasira yake ndio itakua inatawalaSiku ya kwanza hii, kaa mkao wa kula sasa
mbona kwenye intro remarks kasema clearly kuwa leo hatasoma hotuba ya kampeni yenye sera / ilani?Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi,asante Mungu umepona..
Presidential material yupoje? Maana wabongo aisee mnafurahisha sana kwa kujifanya mnayajua material. Tangu mjue material ya kutengenezea batiki basi imekua nongwa.Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!
Endelea kumsikiliza kama ulivyofanya leo kuna siku utamuelewa?Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita...
Achana na haya mataahira ya LumumbaKwani hujamsikia mwenyekiti akisema wanabadili ratiba kwa leo ili kuongelea mstakabali mzima wa uchaguzi na enguaengua ya wapinzani?
Kwaio wewe ni presidential material?Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!