Latrice
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 2,389
- 2,366
Huyu Victoire ni mnafiki tena mnafiki mkubwa sana, usiwahi kuthubutu hata kidogo ukamuamini.Kwani hujamsikia mwenyekiti akisema wanabadili ratiba kwa leo ili kuongelea mstakabali mzima wa uchaguzi na enguaengua ya wapinzani?
Nimebahatika kuona makaburi yake kadhaa humu HAFAI.