Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
- Thread starter
- #81
Hivyo wanasubiri CCM waongee na wao ndo wachezee humo humo ?Lissu hana sera bali anasubiri Magufuli kesho afungue kampeni, atakachokuwa anaongea Magufuli basi Lissu atakuwa na kazi ya kumjibu. Kimsingi Lissu bado viatu vya Urais havimtoshi