Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

First impression matters...kabugi...tutajua huko mbele ataongea sasa sababu wananchi wamemlazimisha aongee atafanya nini...angeanza na mwanzo walau...
Katoa sababu ya kuongea alichokiongea, hotuba aliyoiandika yenye kurasa 24 za sera bado hajaisoma.

Tusubiri na kesho tuone atasema nini..
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
😳😳😳😳😳 umesahau kama BAK ndiye mlipaji wa hiyo WIFI? 😜

Wewe ongea. Mimi sio CCM wala Chadema.
Ingawa nikiisema CCM,mnaniita Manka.
.
Nikiisema Chadema naitwa kibaraka wa Lumumba.
I dooooont care.
Hakuna mtu ananilipia WiFI yangu hapa. JF where we dare to write openly.
 
Yaani unamkaribisha mgeni nyumbani kwako, siku ya kwanza unamshindisha njaa. Halafu unamuambia usijali tutakula kesho chakula kitamu sana. Leo lala tu.
Katoa sababu ya kuongea alichokiongea, hotuba aliyoiandika yenye kurasa 24 za sera bado hajaisoma.

Tusubiri na kesho tuone atasema nini..
.
 
Ilikuwa hivyo pia kule Tunisia, Egypt na kwingineko duniani ambapo madikteta walijisahau na kudhani vyombo vya dola vitawalinda milele huku wakiendeleza udhalimu wao lakini wananchi waliposema sasa basi cha moto walikiona. Hivyo hapa Tanzania pia yaliyotokea katika nchi hizo yanaweza kabisa kutokea na yesu wa lugola akaikimbia Ikulu. Usicheze kabisa na NGUVU YA UMMA wanaposema sasa basi LIWALO NA LIWE.
Ila watanzania bado sana. Kumbuka Egypt wale kina Ben Ali na Mubaraak walikuwa kwenye utawala zaidi ya miaka 20.
Scenario hazipo sawa.
Sema tu NEC imekosea sana kukata wagombea.
Hapo najiuliza wala sipati jibu.
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Basi wewe ni muongo, hujasikiliza mwanzo mwisho. Mbona mwanzoni alisema kabisa kuwa hatazindua kwa hotuba kwa sababu ya uhuni tume uliyofanya?
 
He was simply setting the ground. Ndiyo kwanza kampeni imeanza. Yatakuja hayo!
 
😳😳😳😳😳 umesahau kama BAK ndiye mlipaji wa hiyo WIFI? 😜
Teiiiina iam sorry,halafu ujue usisahau kunitumia ile cheque niwapelekee Vodacom. Hii Miezi miwili ni muhimu sana.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Wafuasi wake humu hawawezi kukuelewa.
LISU kafanyiwa mengi mabaya.
Ila anatakiwa abadilike sasa kuhusu maneno yake.
"MWISHO WATAMCHOKA"
Wewe ongea. Mimi sio CCM wala Chadema.
Ingawa nikiisema CCM,mnaniita Manka.
.
Nikiisema Chadema naitwa kibaraka wa Lumumba.
I dooooont care.
Hakuna mtu ananilipia WiFI yangu hapa. JF where we dare to write openly.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Victoire siku ya miti kuteleza hata kwa nyani haiandikwi mahali na haina wakati muafaka wa miaka 20, 30 au 40. Watu wana usongo mkubwa wa haki na uhuru wa wagombea na wapiga kura kuendelea kuminywa.

Ila watanzania bado sana. Kumbuka Egypt wale kina Ben Ali na Mubaraak walikuwa kwenye utawala zaidi ya miaka 20.
Scenario hazipo sawa.
Sema tu NEC imekosea sana kukata wagombea.
Hapo najiuliza wala sipati jibu.
 
Hata uzinduzi wa Kampeni za Lowassa ilikua hivi hivi. Aliishia kusema Elimu! Elimu! Elimu! Halafu wakasema Hotuba yake itawekwa kwenye mitandao watu waisome.
Sikupingi kuhusu aliyerejea kwao, tusubiri huyu tuone pia
 
Basi wewe ni muongo, hujasikiliza mwanzo mwisho. Mbona mwanzoni alisema kabisa kuwa hatazindua kwa hotuba kwa sababu ya uhuni tume uliyofanya?
Mwanzoni Mbowe alivyoongea TBC hawajaonyesha. Ila all in all.Hakuna sababu yeyote ambayo ilitakiwa kuwazuia leo kumwaga sera zao. Wangesema kwa nini tuwachague na still wangesemea walioenguliwa pia.
 
Presidential material yupoje? Maana wabongo aisee mnafurahisha sana kwa kujifanya mnayajua material. Tangu mjue material ya kutengenezea batiki basi imekua nongwa.
Kwa hiyo Presidential material ni yule ambaye anaagiza wakurugenzi kufuta wagombea, kuwateka, kuwabambikiza kesi ili wakose vigezo n.k?
Kumbe unajua halafu unauliza
 
Wafuasi wake humu hawawezi kukuelewa.
LISU kafanyiwa mengi mabaya.
Ila anatakiwa abadilike sasa kuhusu maneno yake.
"MWISHO WATAMCHOKA"

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Binafsi niliumia sana Lissu kupigwa Risasi. Ila Mungu kamuokoa. Sasa ninamsihi awe kama Yusuphu. Yusuphu pamoja na aliyofanyiwa still alisonga mbele,still aliweka mikakati Misri ikawa nchi yenye chakula tele.
Lissu be Joseph now ,yaliyopita yamepita.
 
Back
Top Bottom