Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Imagine wagombea 50 wa Chadema wameshakatwa na wagombea 20 wa ACT huko zanzibar wameshakatwa, maana yake CCM imeshalamba wagombea 70 mezani.Ila watanzania bado sana. Kumbuka Egypt wale kina Ben Ali na Mubaraak walikuwa kwenye utawala zaidi ya miaka 20.
Scenario hazipo sawa.
Sema tu NEC imekosea sana kukata wagombea.
Hapo najiuliza wala sipati jibu.
Sasa huo ni uchaguzi au ni uchafuzi?
Jiwe anataka kubadili katiba aongeze muhula wa utawala kwa hiyo lazima awe na idadi minimum ya wabunge wa upinzani wa kumpinga haswa wa Zanzibar, maana anahitaji theluthi mbili kutoka pande zote za Muungano kubadili vifungu vya katiba