Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Tundu hajawahi kuwa kiongozi ni mpingaji na mbomoaji -tumkatae mapema
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Kama umemsikiliza kweli basi una matatizo kwenye mfumo wako wa fahamu.

Chadema wamezinduwa ilani yao leo?
Hopeless woman.
 
A
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Atasema nini wakati hata ilani chama chao hakina, wanasubiri kuibia ilani ya CCM
 
Jazba zimemjaa watu hawajajitokeza wamempuuza, View attachment 1550843
IMG-20200828-WA0143.jpg
 
Presidential material yupoje? Maana wabongo aisee mnafurahisha sana kwa kujifanya mnayajua material. Tangu mjue material ya kutengenezea batiki basi imekua nongwa.
Kwa hiyo Presidential material ni yule ambaye anaagiza wakurugenzi kufuta wagombea, kuwateka, kuwabambikiza kesi ili wakose vigezo n.k?
Hahahaha..... kumbe umegundua mijitu mingi humu ni empty head yan....

Cjui nan aliwaanzishia ilo neno presidential materia.... maana limewakaa balaa kwe finger tip zao
 
Mfumo wa Elimu yetu ni kikwazo,maana hatufundishwi ujuzi na maalifa,zaidi ya kukariri tu semister iishe,Leo hawatasoma ilani kwa sababu ya kuenguliwa wagombea karibu 30%,sisiem walitegemea kuwa jamaa wataendelea na kawaida ili haramu yao ya engua engua ipite,sasa ngoma ndio hivyo imeanza upya,TL akili kubwa sana
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Dada unafeli sana...

Huna masikio?

Kasema leo ni kupeana maelekezo way forward,hawezi toa sera wakati more than 100 candidates are down......

Sera ya leo ni maandamano nchi nzima wagombea wetu warudishwe.....

Kwa kifupi hakuna uchaguzi bila vurugu kuanza....

Ni candicates wetu 100 warudi,hiyo ndio hoja ya leo....

You have been warned!
 
Mwanzisha mada, hukusikia akisema kuwa hata hotuba yenyewe ya uzinduzi ameamua kutoisoma hasa baada ya wagombea wao zaidi ya 50 kuenguliwa?

Priority now ni kurudisha wagombea ili uchaguzi ufanyike kwelikweli, siyo haya maigizo!
 
Presidential material yupoje? Maana wabongo aisee mnafurahisha sana kwa kujifanya mnayajua material. Tangu mjue material ya kutengenezea batiki basi imekua nongwa.
Kwa hiyo Presidential material ni yule ambaye anaagiza wakurugenzi kufuta wagombea, kuwateka, kuwabambikiza kesi ili wakose vigezo n.k?
Jogoo oyee
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Kasema hotuba amabayo aliiandaa hataisoma.

Wanataka wadeal kwanza na wagombea walioenguliwa.
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Unless hamkumuelewa lissu kasema hivi hatuba yake ya pageb24 hajaisema wala hawez kuongelea kwa sasa hadi wagombea wote wa cdm watakaporudishwa ulingoni.

Wametaka watu waandamane kwa amani kudai wagombea wao. Na hata kesho atafanya hivyo hivyo.

Swala la yy kushambuliwa alikuwa anausifia ukuu wa MUNGU ulivyo mpigania na akatoa shukran. kibinadamu hana budi kushukuru
 
Kwani hujamsikia mwenyekiti akisema wanabadili ratiba kwa leo ili kuongelea mstakabali mzima wa uchaguzi na enguaengua ya wapinzani?
Wazee wa gia ya angani....wanabadili baada ya kutojipanga kwao kudhihirika...sababu nyingine ni visingizio
 
Back
Top Bottom