Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Hapo ndo mtafail.mosi hakuna mtu ataandamana.Serikali za mitaa mlifanya kosa kubwa sana kususia wagombea walipoenguliwa. Too sad wapinzani dhidi ya CCM hawana balls
 
Hapo ndo mtafail.mosi hakuna mtu ataandamana.Serikali za mitaa mlifanya kosa kubwa sana kususia wagombea walipoenguliwa. Too sad wapinzani dhidi ya CCM hawana balls
Anasema ataandamana .........ila anangoja watu wengine ndo wafanye hivyo kwa niaba yake
 
Hapo ndo mtafail.mosi hakuna mtu ataandamana.Serikali za mitaa mlifanya kosa kubwa sana kususia wagombea walipoenguliwa. Too sad wapinzani dhidi ya CCM hawana balls
Nani kakwambia?

Mnafeli kudhani hakuna watu wataandamana..mnafeli mno!

Fujo ni lazima....

Hakuna kampeni,kampeni zimegeuka ni za kudai haki sio kura!

Simple!
 
Too sad kuona CCM wataendelea kuongoza hii nchi.
 
Nani kakwambia?

Mnafeli kudhani hakuna watu wataandamana..mnafeli mno!

Fujo ni lazima....

Hakuna kampeni,kampeni zimegeuka ni za kudai haki sio kura!

Simple!
Humu mtandaoni sawa. Naomba unitag picha/video mkiandamana.
 
Ndo hivo leta matusi ya tandale huku napoishi labda kidogo naweza nikasikitika sasa unaniletea vitusi vyepesi hivo na ngeli za ras simba hivo sie tumezoea kuvisikia kwenye tamthilia za kifilipino tu
 
Maandamano yanaanza lini?
Maana tangu jana naona kuko kimya kabisa!
Au ni kama yale ya Mange?
 
Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Kwani hujamsikia mwenyekiti akisema wanabadili ratiba kwa leo ili kuongelea mstakabali mzima wa uchaguzi na enguaengua ya wapinzani?
Kama hivyo tutaelewana,ajikite kwenye sera aache masuala ya yeye kushambuliwa
 
Nani kakwambia mzee..?

Naona umegeuka mganga?

Sio vizuri kuvamia fani za watu kufanya tabiri mbalimbali....

Kama ni mganga ni bora tukajua tukakuweka kwenye group hilo rightfully!
Vipi matusi ya kwa mabeberu yamekuisha?? Au dikshenari imesha eksipaya
 
Victoire unajua huwa nakuona wa maana. Amesema anashughulikia engua hii ya kuhuni kwanza. Subiri atasema mbona musa bado. Usinuidhi
 
Victoire unajua huwa nakuona wa maana. Amesema anashughulikia engua hii ya kuhuni kwanza. Subiri atasema mbona musa bado. Usinuidhi
Hii Engua wala hawatawin na itawapotezea kweli uelekeo. Wajikite kwenye sera zao. Maana kama kweli form zimekosewa kujazwa hapo watapata nini ?Halafu huku Bara unategemea mtu aandamane kweli ?Serikali za mitaa ndo mlitakiwa muonyeshe funzo. Ila ndo hivyo mkasusia Uchaguzi.
 
Hazijakosewa katu. Ni uhuni! Ukweli utaupata maana walioenguliwa wana copies!
 
Rejea majimbo 18 CCM umepita bila kupingwa...anzia hapo kufanya analysis jomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…