Dhumuni la mkutano hukulijua
Dada uchaguzi hakuna,ilitafutwa sababu ya maandamano kwa muda mrefu,na tayari ishapatikana
Kampeni ni maandamano matupu nationwide!
Hakuna kampeni,na kwa hili vyama vyote vya upinzani vimekubaliana maana ni at their best interest!
Maalim Zanzibar hasa Pemba ni Mungu,jana kaongea,na ile tone scared everybody...
Huwezi ondoa 100% ya wagombea wa Maalim Pemba wewe,ni receipt for disaster!
Wapinzani infact walitaka this to happen,and unfortunately it happened
Sababu imepatikana,na aliesababisha amejileta mwenyewe,kampeni ni inageuka ni kudai haki sio kura tena...hii fujo haishii leo
Trust me!