Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Usijidanganye, Picha uliyoweka huku ndio inakuumbua zaidi kwa tunaojua picha zilivyo. UKITAKA JUA HAMNA WATU, ANGALIA HHUYO MTU ALOPIGA PICHA NA JUKWAA LILIPO, HAIZIDI UMBALI WA FENSI YA NYUMBA YA VYUMBA VINNE. NDIO UJUE WATU WANA UCHUNGU NA NCHI YAO.

MNASEMA JANA MKITI HANA FEDHA, NI KKWA KUWA HUKO NYUMA ALIKUWA AKIPIGA DILI NA WATU WALIOKUWA MADARAKANI ALIKUWA AKIWAWEZA. SASA HIVI HIYO JANJA JANJA YA KUPIGA DEAL MIRIJA INEKATWA, NI FEDHA YA HALALI TU, NA ZILE ZA MAFISADI MLIOKUWA MKIZIPATA KUWANUNUA VIJANA MTAANI WANAAJAZA VIWANJA, ZIMEZUILIWA TIKA NJE. KINACHOTAKUWA NI SERA, HAKUNA SYMPATHY KWENYE URAIS.
 
Nyie ndo vilaza. Hivi mtu ana hotuba na asiisome Kweli ??Hebu tumieni akili basi. Hakuwa na hotuba yule. Siku ya jana ilikuwa muhimu sana kwa kunadi sera zao.

Lisu awe mkweli - Jana imedhilika wazi wazi hana strategy za kushinda uchaguzi huu - yupo yupo tu na a very sloppy dream team yake inayo ongozwa na five star General Mbowe - mwaka huu sijui kama chama chao kitafanikiwa kupata wabunge zaidi ya watatu, God willing.

Sasa swali la kujiuliza hapa, ni: ilikuwaje tena a fire brand Lissu Jana akakumbwa na kigugumizi kwa kudai eti ilani ya Chama chake ameifungia kabatini ataitoa at opportune time- a very clever ploy - kumbe yeye analenga kumsukiliza Dr.Magufuli atasema nini kwenye ufunguzi wa kampeini za CCM, watakalili kila asemalo alafu kesho yake wataponda kila kitu kwenye mikutano ya kampeini za Chadema watajaribu kuwachota akili wasikilizaji wakiwa na imani kwamba mbinu hizo zita save jahazi la Chadema lisizame.
 
Nimemuelewa. Binafsi nilitaka kusikia pia yeye atafanya nini ili kuweka mazingira mazuri kwa wakulima na wafanyakazi wa Tanzania ?

Hahahaaa , SASA HIVI NDIO UMEJUA KUWA NI GENGE LA WAPIGA DEAL. HE HAS TO MOVE FORWARD , NA KWA KUWA MUDA WOTE WALIOKUWEPO PALE ULIWATOSHA KUSEMA WALICHOTAKA, LAKINI TURN OUT YA WATU ILIYOKUWEPO, WAMEPIMA MWAKA HUU WANANCHI HAWADANGANYWI, INGAWA WAPO WACHACHE KAMA WEWE NA WENGINE WALIOKUWA WANAJIDANGANYA KUWA ATAPATA WAFUASI. SASA KAMA KWENYE UFUNGUZI , WATU NDIO WALE, UUNAFIKIRIA ATAWAELEZA NINI. KESHA PIGA HESABU ZAO, WAMEONA HAWAUNGWI MKONO, NA KUBADILI GEAR ANGANI TU, KUANZISHA TAHARUKI. FUNGUA MACHO, UUONE UKWELI WA UJENZI WA TAIFA NA SIO USHABIKI.
 
Basi wajiondoe kama walivyofanya serikali za mitaa.

Wanatafakari cha kufanya, kwa hali tuliyonayo nchini kwa sasa na uzoefu umeonyesha chaguzi siyo njia muafaka ya kuabadili uongozi.

Hata wewe umegusia uhuni wa serikali za mitaa.

Ninachokiona ni kwamba CCM wameshafikia level ya juu ya kiburi, hawaogopi Wananchi tena maana wana uwezo wa kutowapa wanachokitaka na wasipate consequence yoyote. Kwa hiyo they don't care, kwa kuwa wana majeshi yote, taasisi zote na wanazicommand bila chembe ya aibu kufanya mambo yasiyo ya haki kabisa!

Busara itawaeleza njia nzuri na effective zaidi ya kwenda mbele lakini chaguzi ni inneffective.
 
Siku ya kwanza hii, kaa mkao wa kula sasa
Jomba umevurugwa siku ya kwanza ndio unatakiwa ujipambanue wazi kw kila kitu..unaweka mambo hadharani siku nyingine yanakuwa marudio tu. Kwa mtaji huo hapo patupu hakuna kitu..hapo..atawahadithia tu jinsi walivyochapana risasi wenyewe kwa wenyewe .hahaha. Hajui kwamba kimlacho kinguoni kwake mulemule...
 
Ndo maana wali sema hawatazunguzia Sera iyo siku watachangamsha akili na kuzungumza yanayoendelea. Kama ni Sera subiri utazipata usiwe na haraka kama cha kwanza
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
 
Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Na ndio tatizo linalo tukabili sana Watanzania. Tumezoea siku zote kulishwa uongo kiasi hatusikilizi kwa makini nini kimesemwa.
Mnyika amezungumza kwa msisitizo kuwa Jana wameahirisha kuitoa ilani yako ya 2020-2025 ili suala la wagombea liwekwe sawa kwanza lakini mleta mada na wenzake pamoja na uzoefu wao wa kujadili siasa bado jambo dogo tuu kama hilo wameshindwa kulielewa kwa vile wamezoea kuishi katika uongo na uzandiki.
Waambieni waamke, mwaka huu kila rangi ya CCM na Magufuli mtaijua kwenye hizi kampeni maana itafunuliwa
 
Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!

Yaani badala ya kujenga hoja kwa wananchi wamchague, " Ni yeye" anaifitinisha Tanzania dhidi ya Jumuiya ya kimataifa. Tanzania ya watanzania tena ya wananchi wenye uwezo wa kumuweka madarakani.

Yaani anataka Jumuiya ya kimataifa ndiyo imuweke madarakani hapa nchini badala ya sisi watanzania ndiyo tumuweke madarakani. Sasa Lissu akisha wekwa madarakani na jumuiya hiyo ya Ulimwengu, atailipa nini!?

Siyo ndiyo, mwanzo wa Lissu kutuuza watanzania kwa mafungu...!!! Kwa hili, leo amepoteza nafasi adhimu ya kuwashawishi watanzania kwa hoja ili wamuweke madarakani.
Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kwani sisi hawakutuuza miaka yote ndo uje umwone Lissu ivo. Wacha mihemko mkuu
Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!

Yaani badala ya kujenga hoja kwa wananchi wamchague, " Ni yeye" anaifitinisha Tanzania dhidi ya Jumuiya ya kimataifa. Tanzania ya watanzania tena ya wananchi wenye uwezo wa kumuweka madarakani.

Yaani anataka Jumuiya ya kimataifa ndiyo imuweke madarakani hapa nchini badala ya sisi watanzania ndiyo tumuweke madarakani. Sasa Lissu akisha wekwa madarakani na jumuiya hiyo ya Ulimwengu, atailipa nini!?

Siyo ndiyo, mwanzo wa Lissu kutuuza watanzania kwa mafungu...!!! Kwa hili, leo amepoteza nafasi adhimu ya kuwashawishi watanzania kwa hoja ili wamuweke madarakani.
 
mbona kwenye intro remarks kasema clearly kuwa leo hatasoma hotuba ya kampeni yenye sera / ilani?

kasema first things first - and the first things ni kuishiniliza NEC ihakikishe wagombea wote (ubunge na udiwani) walioenguliwa wanarejeshwa kwanza tena bila masharti yoyote.

kasema sasa hivi ni maandamano ya amani nchi nzima na ametaka uungwaji mkono wa jumuiya ya kimataifa.

Nape Nnauye Mwigulu Nchemba na wengine wote mliotangazwa kupita bila kupingwa futeni hizo sherehe zenu - hii ngoma bado mbichi kabisaa!!
Hawana masikio hawa.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Chadema hawajetengeneza bado manifesto,tukisema chadema hawapo serious tanapa wanabisha
Kelele zote zile watu wameishia kupewa story za risasi na kuombwa hela
Wanasubiri Chuma John Pombe Magufuli aongee halafu wampinge. Siasa za kusutana hazina nafasi Tanzania. HAPA KAZI TUU!!
 
Back
Top Bottom