Agenda za Lisu zibase kwenye MAOVU/Machungu yote yaliyofanywa na awamu hii. Maana hakuna ambaye hajaguswa na hivyo lazima you will win the majority!
Ongezea
-Review ya wafanyabiashara wote waliofilisiwa biashara zao kama walitendewa haki.....tume maalum ya kutenda haki
- Kesi ambazo zina hukumu zenye utata ambazo watu wamepewa hukumu za "maagizo"
- Review ya kesi za uhujumu uchumi/kutakatisha fedha zote.... commonwealth judges kuhusishwa kuondoa bias
- Review ya manunuzi yote ambayo hayakupitia bungeni
-Mikataba yote iliyoingwa awamu hii
-Tender zote za awamu hii
etc
Mwanahabari Huru