Le mutuz na cyprian Musiba wapo na waganga wa kienyeji mda huu wameomba bajeti kubwa kuwa watampiga ndumba Tundu lisu mpaka awe na kigugumizi ajikute anaongelea vitu vya kawaida sana ambavyo havitawashitua watanzania, cyprian Musiba na le mutuz wanakula pesa za CCM kiulaini kupitia vitu kama hivyoTundu Lisu ni Messi wa siasa za Tanzania... yaani CCM sahiv hawana raha kwa kinachotokea kesho.
CHADEMA kweli mafundi
Asante sana.Tumsaidie kumkumbusha maana yeye kama mwanadamu kuna mambo ya msingi anaweza kuyasahau hivyo tumsaidie kwa njia hii.Agenda za Lisu zibase kwenye MAOVU/Machungu yote yaliyofanywa na awamu hii. Maana hakuna ambaye hajaguswa na hivyo lazima you will win the majority!
Ongezea
-Review ya wafanyabiashara wote waliofilisiwa biashara zao kama walitendewa haki.....tume maalum ya kutenda haki
- Kesi ambazo zina hukumu zenye utata ambazo watu wamepewa hukumu za "maagizo"
- Review ya kesi za uhujumu uchumi/kutakatisha fedha zote.... commonwealth judges kuhusishwa kuondoa bias
- Review ya manunuzi yote ambayo hayakupitia bungeni
-Mikataba yote iliyoingwa awamu hii
-Tender zote za awamu hii
etc Mwanahabari Huru
Umesoma ukaelewa au umekurupuka?Kwani ilani ya uchaguzi ni mawazo au mtazamo binafsi wa mgombea au ni wa chama chake?
Nashukuru umetambua kuwa Ilani ni ya chama si ya mgombe. Ni kweli mgombea anaweza kuongeza yake kama ELIMU BURE ilivyoongezwa na kuja kutekelezwaUmesoma ukaelewa au umekurupuka?
Pia tambua mgombea uraisi anaweza kuwa na ahadi zake mbali na zile zilizoko katika ilani ya chama chake ambazo huzitoa kulingana na mahitaji/matakwa ya wananchi au kulingana na yeye anavyoona inafaa.
Aisee kuwa mwanachadrma hakuna stress. Full brudani halafu akili inakuaa step by stepYaani kuwa mwana chadema ni raha lkn chadema ni zaidi ya shule...inakufanya uliwazie Taifa Mambo makubwa makubwa tu na yenye faida kwa kizazi kijacho...wenzetu wanawaza kujinufaisha leo tu lkn ya kesho hawana hbr nayo kbs...badilikeni ninyi ma ccm
Kuna Ilani ya chama lakini pia kuna uwezo binafsi wa mgonbea. Hii ndio inafanya mgombe mmoja awe bora kuliko mwingine.Hivi vyama ovyo Sana,mgombea huwa haji na yakwake bali ni ilani ya chama inasemaje
Acha kuwaonea wenye vyeti feki waliajiriwa na nani waliowaajiri mbona wanadunda??Sitaki kuamini macho yangu, kweli CHADEMA ya leo imekuwa ya kutetea wizi? hivi hujui hao wa vyeti feki walipaswa kuwa jela!? wameachwa huru kutwa nzima wanamtukana JPM mitandaoni ni rehema na huruma ipi zaidi ya hiyo wanahitaji? kweli CHADEMA kinaenda zikwa, wacha niskilize muziki tu...[emoji445][emoji445][emoji2424] tunapigikaaaa tunasurubikaaaa.....[emoji445][emoji2424]bongo fleva ya zamani tamu sana.
wale mbwa walamba makalio wao kazi yao sio kuwahudumia wananchi bali kumsifia kidudu mtuYaani kuwa mwana chadema ni raha lkn chadema ni zaidi ya shule...inakufanya uliwazie Taifa Mambo makubwa makubwa tu na yenye faida kwa kizazi kijacho...wenzetu wanawaza kujinufaisha leo tu lkn ya kesho hawana hbr nayo kbs...badilikeni ninyi ma ccm
Wakishughulikiwa si mnasema wamebambikiziwa kesi? mnalo jema nyie?Acha kuwaonea wenye vyeti feki waliajiriwa na nani waliowaajiri mbona wanadunda??