Uchaguzi 2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

Umeweka hoja nzuri Sana Ila nazani ungeanzisha Uzi mwingine Tena wa kuwaomba wadau watoe maoni juu yanini kiwe katika Irani ya Chadema. Upate maoni na kero za makundi yote, wafanyabiasha, wachimbaji wadogo, viwanda vidogo,walimu,watumishi wa umma,
 
Bashite bado anadunda... Double standard is injustice!! Alichopaswa kufanya ni kufukuza wale ambao hawakusomea kabisa hizo fani.. mf. Mtu amesomea ualimu ila ni daktari, but kwa walionunua majina tangu zamani na wakaingia darasani hawakustahili adhabu hyo.. pia kaunzisha mfumo ambao hautaruhusu tena kununua majina.
 
Atuambie pia atatengeneza ajira kiasi gani kwa vijana wetu maana wapo wanaranda randa tu kwenye betting centers sector binafsi nayo ndio hivo imepigwa vita sana awamu hii ya jiwe.
 
Jambo la kusikitisha ni pale unapokuta mtu alisoma certificate ya uuguzi kwa cheti cha darasa la saba kisha akaenda diploma ya uuguzi na akafaulu,akawa mkunga mzuri tu.Likatolewa tangazo serikalini kuwa ni lazima awe na cheti cha form four,akafanya ujanja ujanja akapata photocopy ili alinde ajira yake.
Wote wa jinsi hiyo waliondolewa kikatili mno.

Kama tuliwaacha waliotumia majina ya ndugu wakasoma hadi Chuo kikuu,kwa nini tusiwajali hawa walioachishwa kazi kwa kutokuwa na cheti cha form four?
 
Babu yangu mzee rungwe.
ATACHUKUA NCHI.
NA HAMTAAMINI.
 
Umesahau la MAPENZI ya Jinsia moja
 
Namba 1 na 4 hiyo ngumu maana hata yeye yatamkuta na hatoweza kuyafanyia kazi.
12. Njoo na mpango wa kuwarudishia pesa wale wote waliofirisiwa na DEC kwani pesa zao bado zipo kwa uchunguzi ambao mpaka sasa haijulikani utakwisha lini.
 
Kwa hoja zako mkuu,nadhani utakuwa umeona uongozi sio rahisi kama wengi wanavyoamini.

Umeweka kipropaganda zaidi kana kwamba unataka fulani akomeshwe.
 
12.kuondoa riba kwenye mikopo ya elimu
 
Ngoja wanaume wachukue nchi utaona mabadiliko. Maji ni bidhaa inayohitajika mno ikiendeshwa ki biashara na si kisiasa maji yana faida na wananchi watanufaika.
Yawezekana kabisa kwenye nchi ya kusadikika
 
HOJA TANO HAPO JUU ZINANIGUSA MOJA KWA MOJA.
 
Mie hata asije na ahadi yyte familia yangu nzima ni kura kwa Tundu lissu potelea pote,hatutaki tena udikteta uchwara ktk nchi yetu na depotism.Titapiga kura kwa wingi ili tuwape shida kwenye kuziiba pu&&##%$ zenu
 
Kuna mtu anataka kugombea urais China, lakini hotuba yake ya kutangaza nia atawahutubia wachina kutokea ufaransa na kwa lugha ya Kifaransa.
Baadhi ya wachina wanafurahi sana kwamba wamempata president candidate anajua vizuri kifaransa.

Ni kweli,kanywe sumu baasi
 
Mwambie aje na ahad ya ml 200 kila kijij

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…