Uchaguzi 2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

Njoo na uamuzi wa kulifanya bunge lkuwa Live kama ilivyokua miaka yote
Kweli hili ni moja ya mambo muhimu sana kwenye kampeni za mwaka huu na ninafikiria kuliongeza hapo juu kwenye huu uzi.
 
Umeonesha upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo
Yaani unaomba urais unawaambia watu utarudisha bunge live??!!,utawalipa wezi wa kangomba?utawafidia wafoji vyeti
Dah
 
Shirika la maji inabidi lijiendeshe kwa faida, kama wananchi wanaweza kununua vocha ya simu hawatashindwa kulipia maji yenye uhakika.
 
Hiyo point ya vyeti feki inabidi uwe mjanja sana namna ya kuifremu.Otherwise inaweza kumfelisha.Kuna mambo mengine inabidi akae tu kimya si yote ayaongeleeeee
 
Nitashangaa kama kuna mfanyakazi yeyote atamuamini tena Ngosha kwenye maslahi
 
Rais hayo anaweza kuyatimiza kwa amri yake ndani ya mda wa myezi mitatu! Kwa hiyo kazi yake itakuwa imeisha?
Chukulia kazi iliyo fanywa na Rais wa sasa! Je, akiendelea kwa miaka mingine mitano! Na kuhusu madini awarudishe ACACIA - eti!
 
Akisoma huu uzi na comments za watu,bila shaka atapata nafasi ya kujua shida na matatizo yanayogusa wananchi wengi moja kwa moja.
Kabisa ila hiyo ilikua INRO bado DUCTION maana kampeni hazijaanza hapo ndio muda wa kumwaga kila kitu
 
Molemo kama kuna ambayo mtaona yanafaa na hayamo katika ilani yenu, bas nashaurii myachukue na yawe ni ahadi binafs za mgombea uraisi wa CHADEMA,kamanda Lissu.
 
1. KWENYE MAMBO YA MWANANCHI MMOJAMMOJA.

Huu uzi ni muhimu sana wasaidizi wa Lissu, au Lissu mwenyewe auone!

Watu wake wa karibu wamfikishie huu uzi!.

Leo ameongea mengi kwenye huu uzi ila bext time

1. Asisahau kuongelea kuhusu kurudisha bunge Live

2. Elimu bure mpaka kidato cha sita

3. Kuondolea usumbufu wazee wetu kwenye kupata mafao yao ya uzeeni, (Leo aliongelea kuhusu fao la kujitoa tu)

4. Hajazungumzia kuhusu ufisadi na rushwa na namna ya kuuthibiti

5. Asisahau kuzungumzia madhila ya wakulima wa korosho, hii iwe signature talk yake anapotaka kutolea mfano jinsi kilimo kinavyo suffer.

2. BAADA YA HAPO AWE ANAGUSIA NA VISION YAKE YA MIRADI MIKUBWA

1. Aeleze ana mpango gani juu ya Food Security
2. Nishati
3. Miundombinu
4. Madini
5. Utalii

3. UMUHIMU WA DATA
Wasaidizi wake wamsaidie kwenye takwimu na figures ili awe anapiga point huku akitolea mifano ya statistics (data)

4. HOJA MTAMBUKA
Asiache kabisa kumuattack Jiwe kwa makosa ya kiuongozi aliyoyafanya ndani ya miaka mitano. Wananchi inabidi wwkumbushwe madhila ya utawala huu ili wapate hasira ya kumkataa Jiwe kwenye sanduku la kura. Watu wanapenda mtu jasiri mwenye uwezo wa kumwambia mfalme kuwa yuko uchi, hii itamuongezea credit zaidi. Kuna watu wanasema eti asimuattack Jiwe, mimi kuwa akiwasikiliza hao watampoteza, akumbuke kukubalika kwake kulitokana na jinsi alivyosimama kidete juu ya utendaji kazi wa serikali ya Magufuli, kwa hiyo asiache hata kidogo kuattack credibility ya Jiwe!

5. KINGINE
Asikubali kupoteza huruma za wananchi, atafute namna ya kuwaumbusha watu madhila yaliyomkuta lakini kwa namna ya kuonyesha utawala huu ulivyo mbaya, isiwe kwa namna ya kupersonolize hiyo issue. Asisahau kuwasemea akina Ben Saanane, Azory na wengineo ili slogan ya Uhuru, Haki na Maendeleo viweze kubalance kwenye hotuba!
 
Sasa itabidi uwe campaign manager wake!
Ila Nina imani huu Uzi Lissu aliucopy na sasa anapest tu, kesho segerea atamalizia yaliyosalia Leo!
 
nakala kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA
 
- Kikotoo cha kustaafu (formula ya pension)
- Uhuru wa mitandao na kusema chochote na kufichua maovu(whistleblowing) hata kama watu watatumia majina yao ya kweli, wasisumbuliwe.
 
Huyu nae ni CHADEMA?

 
Mwana maono Tundu Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…