Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Kwani ukichanjwa hutaumwa?!!!Nmeona pia lile tahira lao la Twitter eti linasema anaumwa,
Limesahau kama juzi juzi liliwaaminisha watu kwamba kachanjwa peke yake..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wanashikiwa akili sana yani
Camera ziliisha betri?Maana hata asalie nyumbani huwa tunajuzwa.Yupo Tele.
Leo alikuwa st Peter[emoji3]
Ukiwa na chanjo unachelewa kufa Ila utaumwa kama kawaida!!Kwa hiyo kumbe hiyo chanjo ni useless?
Kama unachanjwa na bado unaweza kuumwa corona ina maana gani sasa?
Ni utopolo tu kumbe?Ukiwa na chanjo unachelewa kufa Ila utaumwa kama kawaida!!
Hivi Rais wa Marekani na mwenyewe akienda kanisani anaenda ni kile kibegi cha kuruhusu kulipua sehemu yoyote atakayoKumbe msipomsikia mh Rais Magufuli Chadema mnapata tabu.
Leo amesali katika parokia yake kama kawaida.
Nawatakia kwaresma yenye baraka!
NDIOUtakuta na wewe unajiita msomi
Utopolo maana yake ni ingine haina uhusiano na afya ya magufuliNi utopolo tu kumbe?
Ili aseme "hata mimi nilipata korona lakini nikatumia Bupiji/Nimricaf/Nyungu nikapona" au vipi?Yawezekana Jiwe amepotea ili KuAttract attention siku akiibuka!
Fuatilia hotuba ya ufunguzi wa stand moya mbezi jamaa alikuwa anakohoa chap chap 3×kisha ka glas ka majiNi kweli kabisa , hata mimi naikumbuka hiyo kauli yake ya mwisho
Wabongo bwana.....!!
Mtu ni juzi tu mmemiminia kura za kutosha na maneno ya kumsifka, lkn leo hii kwenye mitandao ya kijamii ananangwa na kuombewa apitiwe na yule shetani mtoa roho kweli....!!?
Kwamba afya yake imefanyaje?Utopolo maana yake ni ingine haina uhusiano na afya ya magufuli
Hii hachomokiIli aseme "hata mimi nilipata korona lakini nikatumia Bupiji/Nimricaf/Nyungu nikapona" au vipi?
Mzee msanii sana yule
Kama hii taarifa ni ya kweli, basi tumuombee kwa Mola wetu amponye ili Rais wetu akapate kupona haraka na kurudi katika majukumu yake ya kila siku ya kuliongoza taifa letu la Tanzania. [emoji120]Nasikia yeye mwenyewe 'kasema anaumwa' na inasemekana ni yule jamaa ndg covid.
View attachment 1721119
Money is not everything.Member since 2009 wewe ni mkongwe humu kamanda tafuta hela achana na Magufuli leo kasali wapi
Hapo ndipo atakapojua kwamba malimao na mimoshi ya mvuke si dawa!!Lakini naye ni binadamu kama sisi kwa hiyo uwezekano wa kutandikwa codiva uko wazi tu!