Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Nmeona pia lile tahira lao la Twitter eti linasema anaumwa,

Limesahau kama juzi juzi liliwaaminisha watu kwamba kachanjwa peke yake..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bavicha wanashikiwa akili sana yani
Kwani ukichanjwa hutaumwa?!!!
 
Nafunga siku saba na maombi mazito,Rais apone haraka na kurejea majukumu yake mambo ya kuongozwa na waZanzibar hapana bora huyu huyu amalize muda wake.
 
Kumbe msipomsikia mh Rais Magufuli Chadema mnapata tabu.

Leo amesali katika parokia yake kama kawaida.

Nawatakia kwaresma yenye baraka!
Hivi Rais wa Marekani na mwenyewe akienda kanisani anaenda ni kile kibegi cha kuruhusu kulipua sehemu yoyote atakayo
 
Rais wetu ni mzima wa afya. Kama ni mgonjwa tungeelezwa. Mbona Trump na na yule Prime Minister wa UK waliumwa na wakaonyeshwa kwenye TV. Wa kwetu ni bora kuliko wao. Mbona Kikwete aliumwa tukatangaziwa. Yanayoendelea ni uzushi tuyapuuze.

Kama ni mgonjwa tungekwisha ambiwa na watumishi wa Mungu kama akina Askofu Gwajima wangeshatangaza siku 21 za kufunga na kumwombea. Pasingekuwa kimya hivi. Si mnajua anapenda sana kuombewa.
 
Hapo ujuwe hizo kura alijimiminia mwenyewe.
Wabongo bwana.....!!
Mtu ni juzi tu mmemiminia kura za kutosha na maneno ya kumsifka, lkn leo hii kwenye mitandao ya kijamii ananangwa na kuombewa apitiwe na yule shetani mtoa roho kweli....!!?
 
Nasikia yeye mwenyewe 'kasema anaumwa' na inasemekana ni yule jamaa ndg covid.
IMG_20210309_191348.jpg
 
Lakini naye ni binadamu kama sisi kwa hiyo uwezekano wa kutandikwa codiva uko wazi tu!
Hapo ndipo atakapojua kwamba malimao na mimoshi ya mvuke si dawa!!

Anahitaji injection ya kupata damu haraka sana ya mtu anayeendana naye damu ambaye kashapona COVID-19. Sasa without records how ar u goingo to point it out??

Sayansi huwa haiongopi !!
 
Back
Top Bottom