Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hivi maandamano lini vile!??? Tuanzie hapo kwanza.
Nani alimpigia kura? Labda wewe na familia yakoWabongo bwana.....!!
Mtu ni juzi tu mmemiminia kura za kutosha na maneno ya kumsifka, lkn leo hii kwenye mitandao ya kijamii ananangwa na kuombewa apitiwe na yule shetani mtoa roho kweli....!!?
Unasema nini???Wabongo bwana.....!!
Mtu ni juzi tu mmemiminia kura za kutosha na maneno ya kumsifka, lkn leo hii kwenye mitandao ya kijamii ananangwa na kuombewa apitiwe na yule shetani mtoa roho kweli....!!?
Chuma nimekiota kimerudi mtaani na shombo la kufa mtu!Umesoma na kuangalia nation tv??
Huyu ni Rais wa Tanzania. Anamhusu kila mtanzaniaHaya muhusu..
Kwanini serikali ya Tanzania isitolee ufafanuzi kuhusiana na taarifa hii inayoenea kwa kasi maana mtandao wa JamiiForums.com wanataja kabiza jina la mkuu wa nchi kuwa kalazwa hospitali ya Nairobi.Chuma nimekiota kimerudi mtaani na shombo la kufa mtu!
Mama mchungaji alimletea dharau akaondoka nae mwanzo mwanzo kabisaCovid hapendi dharau
Wengine hatumo labda chawa kama nyie.Huyu ni rais wa Tanzania. Anamhusu kila mtanzania
Mkuu nitake radhi tafadhaliWengine hatumo labda chawa kama nyie.
[emoji848]Breaking news,.....,
[emoji16][emoji16][emoji16]huu uzi mimi nacheka na comments tu tangu jana.Nasikitika / Nafurahi kutangaza..................[emoji2089][emoji2089]