Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania alitoa taarifa kuwa tarehe 27 February 2021, Mh. Rais John Magufuli alihudhuria kikao cha kawaida cha 21 cha Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Lakini taarifa hiyo ya msemaji wa serikali ilisababisha kuzuka kwa mjadala mkali kama Mh. Rais alihudhuria au la.


21st Ordinary Summit of the East African Community Heads of State - 27 February 2021



2 Mar 2021
The East African Community Heads of State, Their Excellencies President Paul Kagame of the Republic of Rwanda; President Uhuru Kenyatta of the Republic of Kenya; President Évariste Ndayishimiye of the Republic of Burundi; President Salva Kiir Mayardit of the Republic of South Sudan; President Yoweri Kaguta Museveni of the Republic Of Uganda; Her Excellency Samia Suluhu Hassan Representing President Dr. John Pombe Joseph Magufuli of the United Republic Of Tanzania held the 21st Ordinary Summit of The East African Community Heads of State via Video Conference on 27th February, 2021.
Source: East African Community
 
Chuma nimekiota kimerudi mtaani na shombo la kufa mtu!
Kwanini serikali ya Tanzania isitolee ufafanuzi kuhusiana na taarifa hii inayoenea kwa kasi maana mtandao wa JamiiForums.com wanataja kabiza jina la mkuu wa nchi kuwa kalazwa hospitali ya Nairobi.

Afya ni muhimu na taarifa sahihi kwa wakati mwafaka ni muhimu zaidi ili kuzuia taharuki zisizo na msingi-hakuna aibu yoyote hapo.
 
Kama ni kweli Hii sio sawa. Baba anaumwa unaambiwa na jirani? Namuombea apone
 
Back
Top Bottom