Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Alah kumbe naye bado yupo na anamjali Rais wetu?!
 
Ile kichwa ngumu a.k.a jiwe
Never ever sahau chanjo
 
Kumbe tungeweza kuwaokoa the late Engineer Kijazi na Maalim Seif kama na wao tungewawahisha Nairobi

Ubinafsi huu!
Kama alikuwa amezidiwa sana, basi sidhani kama ni yeye aliyeyachukuwa maamuzi hayo zaidi ya wasaidizi wale, doctors wake nk.
 
Duh, kumbe watanzania ni vichwa ngumu kweli! Yaani wanaangalia hasa chini ya mkia wa paka lakini wanakataa kuwa ile tundu ni m@@@@u! Yaani watanzania wote wanajua kuwa jiwe hakuonekana hadharani kwa zaidi ya wiki mbili, jambo ambalo sio kawaida yake, ameshindwa kuhudhuria mkutano wa viongozi wa EAC, lakini kwa vile suali la kutaka kujua yuko wapi limeanzishwa na kiongozo wa upinzani, basi wajamii wanaamua kubisha tu na kuja na kila aina ya excuse za kitoto kabisa.

Baada ya habari hizi (tuseme ni za uongo) kuenea duniani kote ni kwa nini kama jiwe ni mzima hatoki hadharani au kufanya mkutano na waandishi wa habar ili kukana hilo? Si alimlazimisha waziri kikohozi azungumze na waandishi wa habari huko nyuma? Ni kwa nini nae hafanyi hivyo? By the way kuna anaejua alipo waziri kikohozi kwa wakati huu?

Any way Jumapili sio mbali, tutasubiri tuone kama atatokea kanisani. Kuna yeyote yule anaekumbuka time yeyote ile jiwe kutokwenda kanisani kwa sunday tatu mfululizo?
 
Leo amekuwa Rais wake? Si alikataa kumkubali kwamba ni

Ama kweli tanzania tuna watu mbumbumbu! Hutaki kujua kuwa rais wa nchi yako kama kweli ni mgonjwa au la kwa sababu tu aloanzisha suali ni kiongozi wa upinzani? Unakataa kuwa tanzania kuna corona kwa sababu tu wanaosema ipo ni wapinzani, ingawa kila kukicha watu wanakufa kwa maradhi mnayoambiwa ni kupumua?
 

Umeshaambiwa yeye sio Usher Worker.
 
Wakatoliki sasa hivi wamepotoka . Zamani mkatoliki alikuwa hawezi kumsema mkatoliki mwenzie. Sasa hivi Lissu Mkatoliki anamponda mkatoliki mwenzie Magufuli!!! Maaskofu katoliki huko ndani kuna civili war? ya wakatoliki kwa wakatoliki kunyukana? toeni tamko

Naona kuna Civil war ndani ya kanisa katoliki waumini kwa waumini wakatoliki wakinyukana na waumini na viongozi wakatoliki wakinyukana hadhatani!!!

Kuna civil war fire huko.?tuje na gari zimamoto ?
 
[emoji19]
 
Mbona wewe Tundu Lissu hatukuoni huku home?
 
Naona kuna Civil war ndani ya kanisa katoliki waumini kwa waumini wakatoliki wakinyukana na waumini
Walei wakinyukana wenyewe kwa wenyewe hakuna shida kwa kuwa wote hawajui na wanahitaji kufunishwa. Yawezekana sababu ni kila mtu kusimamia anachoamini, mfano unaweza kukuta wananyukana kwa sababu ya maslahi ya kisiasa nk. Kitu kibaya ni mlei kusimama na kuanza kumnyuka kuhani, mfano kubishana naye au kumnanga kuhusu msimamo wa kanisa katika kukabiliana na covd19
 
Tumalize hizi habari za mbuyu kwanza, hali za mchicha baadae.
mchicha ukihimili jua hili basi mbuyu sio wa kuuwazia tena.

naskia tuliambiwa asubuhi nayeye kapelekwa karen[emoji16][emoji16][emoji16]. naona kaenda kukabidhi kwanza briefcase dodoma ndipo arudi tena huko nairobi.
 
Umeshaambiwa yeye sio Usher Worker.
Jamaa anatukana kabisa vyeo vya watumishi wa Mungu. Hichi ni kiburi kabisa. Ndio maana Mungu anachukua hewa yake mnaanza kutumia'' life support gears''
 
Kumbe hata machizi kama Lissu wanam misi kipenzi cha wengu mhe Magufuli!! ha ha ha unajifanya humpendi kumbe unamkubali!! ovyo kabisa nyie
 
Kitu kibaya ni mlei kusimama na kuanza kumnyuka kuhani, mfano kubishana naye au kumnanga kuhusu msimamo wa kanisa katika kukabiliana na covd19
Huo msimamo unaoitwa wa kanisa walei walishirikishwa kufikia uamuzi huo? Ni uamuzi wa viongozi wa kanisa au wa kanisa zima wakiwemo walei? unaposema uamuzi wa kanisa walei walishirikishwa lini kikao kipi kutoa huo uamuzi ili uonekane wa kanisa zima na si wa kikundi kidogo cha viongozi ndani ya kanisa ambao wala hawajawahi pigiwa kura kuwa wawakilishi wao wa maamuzi ? Mbona maswala kama ujenzi wa kanisa mbona kanisa zima hushirikishwa wakiwemo walei kufikia uamuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…