Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Kama ni kweli Hii sio sawa. Baba anaumwa unaambiwa na jirani? Namwombea Apone
Wewe unachojua kwa jiwe.. kwa sasa yupowapi?
Akili zenu zimejaribia kufanana na jiwe🐍🐴🐴🐴
 
Wewe unachojua kwa jiwe.. kwa sasa yupowapi?
Akili zenu zimejaribia kufanana na jiwe🐍🐴🐴🐴
Acha roho mbaya.

Nimesema kama ni kweli si sawa Watanzania kupata habari kutoka kwa jirani ilihali tuna vyombo vyetu, kuumwa si jambo la ajabu kwa binadamu, nimetumia mfano wa baba yako anaumwa halafu ww hujui ila jirani anajua kuonyesha kuwa haijakaa vizuri, kisha nikamtakia kila la heri apone haraka.
 
Nimejikuta nakaonea huruma ka Jiwe aisee! Mungu akanusuru na hii dhahama lakini kakirudi kawe na adabu kwa watu wote! Mimi kalinifanya nikaacha kazi serikalini kwa kuninyanyasa na upandaji wa madaraja lakini sasa nimeingiwa huruma ya kibinandamu, Mungu akanusuru na shetani mtaka roho!! Kwa jina la Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,, AMINAAA
 
Heeeeh, kumbe unamkubali kuwa ni Rais wako?
 
Screenshot_20210310-185044.jpg

Hizi platform zinatoa tetesi kuwa Rais amelazwa huko Kenya kutibiwa Corona..

Na uvumi umeachwa uenee kote duniani wakati Rais aliyechaguliwa na wananchi akiwa sehemu isiyojulikana. Hatujui kama yupo Ikulu Dar, Dodoma, Chato au sehemu nyingine. Na labda hatujui kama yupo huko Kenya kunakosemwa si yeyote serikalini aljitokeze kusema hili wala lile.

Sasa tushike lipi? Au tuendelee kuuliza #yukowapimagufuli???
 
Back
Top Bottom